Kwa bahati mbaya mke ameshika ujauzito tena

Kwa bahati mbaya mke ameshika ujauzito tena

I'm too weary, yaani tuna mtoto wa miezi karibia 9 sasa, ila mke wangu jana kapima ujauzito baada ya kuhisi uchovu, kwa masikitiko makubwa ni mjamzito. Nitaficha wapi sura yangu Mimi? Naheshimika mno inakuwaje wakijua mke wangu mjamzito tena?

Yaani nionekane primitive Mimi? Nafikiria nimuambie tutoe ila navuta muda, mke wangu ndio chanzo cha yote, ananipa show huku mzunguko kausahau, na mimi siku reason!..

Nafikiria nimuambie akaitoe, naombeni mawazo yenu Wanajamvi!! Ndo nadhalilika hivyo
Usiishi kwa kutizama watu wanasema Nini, kuzaa sio fedheha Mana wako wengi wanatafuta mtoto na wasipate.
Ipokee hii Hali mlee mkeo na mimba, uwe nao karibu sana hasa huyo mtoto mdogo akipewa vyakula Bora ili afya yake isitetereke, anyonyeshwe mpaka afikishe angalau mwaka ndipo mama amuachishe ili mwili utengeneze maziwa mapya ya mtoto wa tumboni.
Mambo ya kawaida usijione hufai au la.
 
I'm too weary, yaani tuna mtoto wa miezi karibia 9 sasa, ila mke wangu jana kapima ujauzito baada ya kuhisi uchovu, kwa masikitiko makubwa ni mjamzito. Nitaficha wapi sura yangu Mimi? Naheshimika mno inakuwaje wakijua mke wangu mjamzito tena?

Yaani nionekane primitive Mimi? Nafikiria nimuambie tutoe ila navuta muda, mke wangu ndio chanzo cha yote, ananipa show huku mzunguko kausahau, na mimi siku reason!..

Nafikiria nimuambie akaitoe, naombeni mawazo yenu Wanajamvi!! Ndo nadhalilika hivyo
Huwezi jua huyo unaemtoa anaweza akawa makamu wa raisi akaja kulamba shavu kama Sa 100 😅 muache chalii aishi man!
 
Kwani afya ya huyo mtoto inatetereka kwa mama kuwa mjamzito Tena?

Mama anapaswa amuongezee vyakula mtoto wa miezi Tisa nae apate chakula Bora, anaweza kunyonyesha mpaka hata huyo mtoto afikishe angalau mwaka Kisha anamuachisha ili kuruhusu mwili utengeneze maziwa ya mtoto anaetarajiwa.

Ni hatari kwa afya ya mama na mtoto aliyeko tumboni, huyo mama atahitaji lishe ya kumjenga mtoto tumboni na wakati huo huo amnyonyeshe mtoto wa miezi 9!!!, Mwili huo huo mmoja wa mama!!-- kawa punda??!!, si atazaa njiti na mtoto wa miezi 9 si atadhurika kwa utapia mlo??.

Tafakari ndugu.
 
Usitoe ni vyema ukalea watoto ukizingatia huyo n mke wako hakuna maajabu hapo maneno ya wanadamu hayakwepeki wao wataongea tu.
 
I'm too weary, yaani tuna mtoto wa miezi karibia 9 sasa, ila mke wangu jana kapima ujauzito baada ya kuhisi uchovu, kwa masikitiko makubwa ni mjamzito. Nitaficha wapi sura yangu Mimi? Naheshimika mno inakuwaje wakijua mke wangu mjamzito tena?

Yaani nionekane primitive Mimi? Nafikiria nimuambie tutoe ila navuta muda, mke wangu ndio chanzo cha yote, ananipa show huku mzunguko kausahau, na mimi siku reason!..

Nafikiria nimuambie akaitoe, naombeni mawazo yenu Wanajamvi!! Ndo nadhalilika hivyo
Wewe ungetolewa saa hii ungekuwa wapi? Acha aibu huyo ni Mkeo sio? Jiamini wewe ni Mwanaume Lijali.
 
I'm too weary, yaani tuna mtoto wa miezi karibia 9 sasa, ila mke wangu jana kapima ujauzito baada ya kuhisi uchovu, kwa masikitiko makubwa ni mjamzito. Nitaficha wapi sura yangu Mimi? Naheshimika mno inakuwaje wakijua mke wangu mjamzito tena?

Yaani nionekane primitive Mimi? Nafikiria nimuambie tutoe ila navuta muda, mke wangu ndio chanzo cha yote, ananipa show huku mzunguko kausahau, na mimi siku reason!..

Nafikiria nimuambie akaitoe, naombeni mawazo yenu Wanajamvi!! Ndo nadhalilika hivyo
Mkuu usiwe kama yule jamaa wa nimekosa mimi....nimekosa sana........nimekosa mimi!
Hilo goli halali kbisa ni kama kuzaa mapacha.
Jitayarishe matunzo tu.
 
Mstoe hyo mimba, zaeni tuu. Lkn mjifunze kwa kipind kijacho muwe na tahadhar, maana kutenda kosa s kosa kosa n kurudia kosa.

Zaen mtakuja nishukuru baadae.......[emoji1787][emoji1787]
 
Aibu kitu gani bhnaaa, kwan mko tegemezi?? Kuna watu mnawategemea?? S mnajimudu, wacha mambo za ajabu bhnaaaa
 
Akili timamu ipo hivi; maisha hafifu yanatakiwa yaangamie kwa ajili ya maisha yenye thamani, na ndio maana sisi binadamu tunaua/chinja kuku, mbuzi, ng'ombe nk, na tunakula nyama zao, ni katika hali ya namna hiyo hiyo hali inapolazimika mimba hutolewa ili kunusuru maisha ya mama mjamzito kwani uhai wa mama unayo thamani kubwa kulinganisha na maisha ya mimba isiyokuwa na maisha ya kujitegemea maisha hafifu, sasa kwanini katika njia hiyo tusinusuru maisha ya mtoto wa 9 months dhidi ya maisha ya mimba isiyotabirika kama itazaliwa au itakufa hapo mbeleleni, mimba yenye maisha hafifu kulinganisha na maisha ya thamani ya mtu kamili/mtoto wa miezi 9.??!.

Tumieni akili kutafakari jambo hilo.
Wewe sikiliza; kutoa mimba bila sababu za msingi ni uhalifu kama uhalifu mwingine wowote lakini sio sawa na kuua mtu.mwenye independent life na ndio maana madaktari inapothibitika kwamba mama mjamzito anaweza kufa kutokana.na mimba aliyonayo hatua ya KIAKILI ni mimba kutolewa kunusuru maisha ya Mama kwasababu maisha ya mama yanayo thamani kuliko mimba, ni hivyo hivyo yapaswa kupimwa je maisha ya mtoto/mtu yanathamani gani kulinganisha na maisha ya mimba. Kumbuka.mimba sio mtu kamili na haina maisha ya kujitegemea na mtoto ni mtu kamili mwenye maisha ya kujitegemea.
Acha utoto chief, kila kitu kinatokea kwa sababu alafu imeshatokea wengi na watoto wanakuwa vizuri na afya.
 
Ushauri mbaya kuua ni dhambi huyo mtoto atakua tu

Kuua nini??, kuua mimba au kuua mtu??, kuua mimba kwa kunusuru uhai wa mtu kwa sababu za msingi sio dhambi kwani mtu anayo thamani kubwa kuliko mimba.
 
Acha utoto chief, kila kitu kinatokea kwa sababu alafu imeshatokea wengi na watoto wanakuwa vizuri na afya.

Wewe ndiye uliyeandika utoto, huyo ndugu kaomba ushauri na mimi namshauri kwamba; kama ataona uhai wa huyo mtoto upo hatarini basi njia rahisi ni kutoa hiyo mimba, kutoa mimba kwa sababu za msingi sio dhambi.--- kuna sababu nyingi husan za kiafya zinazopelekea mimba kutolewa na hilo sio dhambi.
 
Hofu yangu siku ingine ukitaka abebe inagoma UTAJUTA
mm kila mwezi nang'ang'ania ikatikie apate mimba lkn hola
 
Back
Top Bottom