Kwa bajeti ya 250k mpaka 270k simu gani nzuri nichukue?

vipi kwa bajeti ya 500-550 nichukue simu gani mkuu ambayo atleast itakuwa na android 13 na ambayo nitaweza pata support maybe to android 15.
Kama unanunulia china mkuu go with Xiaomi redmi note 12 turbo edition yenye snapdragon 7+ gen 2 unaipata around 550k sema uwe na mtu wa kukunulia China na sio Aliexpress. Simu nzuri flagship level kwa bei nzuri.

Otherwise budget za 500k kwa simu mpya kirahisi unapata redmi note 12 ya kawaida, samsung A14 5G etc
 
Chukua brand yoyote ila sio pixel
Narudia tena sio pixel
Acha kuwarusha roho simu zote za mtumba unaweza pata Yenye error kama ni refurb sometimes zinakuwa na errors Nyingi kuliko mtumba (used)

NK. nunua used usinunue zile refurb unafungiwa Kwa box eti ni brand new full hakuna pixel brand new Tz ni chache sana LABDA uende mwenye USA
 
Ila Pixel nyingi bongo ni refurb kuliko used... sabu pia ni ngumu kutofautisha used na refurb kwa macho au maneno ya muuzaji!
 
Mbna
Acha kuwarusha roho simu zote za mtumba unaweza pata Yenye error kama ni refurb sometimes zinakuwa na errors Nyingi kuliko mtumba (used)

NK. nunua used usinunue zile refurb unafungiwa Kwa box eti ni brand new full hakuna pixel brand new Tz ni chache sana LABDA uende mwenye USA
Mkuu kwann ngumu kupara pixel new hpa bongo, mbna samsung new au ophone new zpo sana?
 
Sio utani mkuu, ukinunua Simu Tigo kuna GB kadhaa unapewa zinatumika mwaka mzima, watu wanatoa hadi 30,000 kununua hizo.
Mkuu kwa 400k nichukue simu gani? Iwe na camera nzuri na slim, yaani cm ya kidada [emoji846]
 
Kwa simu mpya 430,000 Tigoshop unapata redmi note 12, ukiweka na Gcam sio mbaya.

Ila most of time simu zenye camera nzuri ni used flagship, kwa laki 4 simu kama Google pixel 4/5 Xperia 5 II, zitakupa camera nzuri zaidi kuliko mpya, ila Simu used nazo zinakua kama unabet nyingi zina matatizo, unless una uzoefu usiingie kichwa kichwa.
 
Kuna hii nimeona inaitwa lg velvet vipi hyo mkuu
 
Back
Top Bottom