Kwa bajeti ya milioni 5, nitapata gari gani zuri kama chombo cha usafiri

Kama mafuta sio ishu wala spea Nenda kwa Brevis, chaser, mark 2Gx 100, 110 unapata zilizo katika hali nzuri.pia kuna Carina Ti unaweza pata japo hayo uote ya kizamani.

Ist, Premio, Raum kupata zilizo njema kwa hela hiyo itakupasa uwe makini na mvumilivu.

Nb:Ukipata naomba ajira nikuendeshe kibonge wewe[emoji4][emoji4].
 
Kama mafuta sio ishu wala spea Nenda kwa Brevis, chaser, mark 2Gx 100, 110 unapata zilizo katika hali nzuri.pia kuna Carina Ti unaweza pata japo hayo uote ya kizamani...
Brevis ya kizamani inapatikana wapi? Umewahi kukuta hata namba C?
 
Brevis ya kizamani inapatikana wapi? Umewahi kukuta hata namba C?
Brevis ni gari ya mwaka 2001, namba C kama zimeanza miaka ya 2010s na kwa bongo gari ikipita miaka 9+ linanunuliwa used tu na watu wa income ya kawaida kwa nini kusiwe na Brevis namba C? Zimejaa huko mitandaoni tatizo hili gari kulichukuwa mkononi ni majanga tu


 
Usihangaike sana kibonge ingia IG,FB na kwenye mitandao mingine utapata gari kulingana na bajeti yako la kuzingatia tu kuwa makini kuna gari ni kali kwa nje ila ukifatilia utasema uongezee chenji ununue used frm Japan
 
Nani kasema hazipo? Kwani IST au Harrier tako hazipo C? Je, ni za kizamani? Nilichosema ni chache sana chini ya D, hivyo inatia shaka kusema ni za kizamani
Ila Brevis ni gari la kizamani , 2001-2007 kwa sasa ni miaka 19 - 13 imepita. Gari mpya "new model" kwa standard zetu za bongo kwa sasa utakuta ni kuanzia angalau 2009-2010.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…