Kwa bajeti ya Tsh. 300,000/- naweza kununua simu gani nzuri mpya au used?

Naomba unipe somo kidogo kuhusu AliExpress maana nasikia sana ila sijawahi kutumia ,ningependa kujua process za kupata bidhaa huko na unafuu pamoja na ufanisi wake japo kwa ufupi.

*
 
Naomba unipe somo kidogo kuhusu AliExpress maana nasikia sana ila sijawahi kutumia ,ningependa kujua process za kupata bidhaa huko na unafuu pamoja na ufanisi wake japo kwa ufupi.

*
Very simple mkuu! Ndani ya dakika tano tu umemaliza kila kitu. Fungua account AliExpress kwa tumia email yako, weka shipping address yako, wezesha line yako ya Voda au Airtel kufanya online purchase kwa kusajili mastercard. Rudi AliExpress jaza details za kadi yako uliopewa. Nenda kwenye bidhaa unayotaka kununua. Ufanisi ni 95% mzigo usipofika wanaku refund.
 
Naomba mwongozo Chief, Xperia 5 II Kwa hii bei 330 nitapatia wapi
 
Naomba mwongozo Chief, Xperia 5 II Kwa hii bei 330 nitapatia wapi
Kariakoo Agrey ni zile refurb

Kabla ya kununua hakikisha unapiga hii namba

Code:
 *#*#7378423#*#*

Halafu itafunguka service mode kutest mambo mbalimbali kama touch ya simu, battery etc.

Kwa battery hii simu inakuja na 4000mah hakikisha battery lilibakia ni kubwa kama 3300 kuendelea.
 
Mkuu ulifanikiwa kuipata Redmi 12? Nipe mwongozo tafadhali
Nimefanikiwa kuipata yenye sofa zifuatazo;

*Storage GB 128
*RAM 6 + 2
*Android 13
*Battery 5000
*Chaja yake mwndokasi simu inajaa kwa haraka sana.
*CPU Snapdragon 685 ,Octacore max 2.80GHz
*MIUI version 14.0.14 Global version
*Bei 420K.

Camera kawaida sio Kali kivile sana ,ila nzuri 50 Mp front macho ma3

Kama Una maswali ya ziada unaweza kuulizia ...
 
Eka Gcam,
 
Sifahamu ndio kitu gani na mahali gani naipata.

Pitia hapo.
 
google pixel 5a USED naweza pata kwa bajeti ya kiasi gani
Nakushauri kama ni Pixel Chukua brand new kabisa ukiweza kuagiza kwa authorized dealer Nairobi itakuwa Super sana, Achana na Refurb au Second hand niliwahi kua na Pixel 5a used ilikuja kuzima tu ghafla, Ndo nkaita nyinginw brand new, Kwa budget hio hupati pixel mpya kama sio mtu wa mambo mengi jivute mpaka 350 fulani ivi ukatungue mu itel battery ni 5000MAH utakusogeza uku ukijupanga Kuvuta mid ranges au flagship
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…