Kwa bajeti ya Tsh. 300,000/- naweza kununua simu gani nzuri mpya au used?

Kachukue Samsung S10 used pale zahoor matelepoho, China plazq
 
Shurkani nimepata kujifunza kitu kipya ,kwa sasa ipi Gcam nzuri kwa Redmi Note 12 maana ukienda mtandaoni bila kujua utakutana na link mbalimbali wengine wezi Tu.
 
Samsung s10e GB 128
iphone 7lus GB 128
Sony xperia 10 GB 64
Google pixel 4a GB 128
Huawei P20 lite GB 64

ZOTE HIZI NA NYINGINE UNAPATA,NJOO PM NIKUHUDUMIE.
 
Shurkani nimepata kujifunza kitu kipya ,kwa sasa ipi Gcam nzuri kwa Redmi Note 12 maana ukienda mtandaoni bila kujua utakutana na link mbalimbali wengine wezi Tu.
Tumia website za wataalam kama Xda kuepuka huo wizi.

Mfano hii

Kuna na Config yake pia,
 
Simu za mkopo mkuu ni sawa na kujiingiza gerezani mwenyewe alafu unajipa adhabu mwenyewe [emoji1][emoji23]

Simu ya laki 2 unajikuta unalipia laki 6 huko si upuuzi wa hali ya juu huo.. Huu ni aina ingine ya unyonyaji..
Chukua tuigonge

Sent from my 2201117TG using JamiiForums mobile app
 
Hapo kwenye 128GB hiyo budget ni ndogo kwa simu nzuri
 
Kama unajua sifa za simu kama hizi,huwezi kushindwa kufanya maamuz(simu Gani ununue)Kwa hyo bajeti yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…