Kwa basic salary ya 1,180,000/= HESLB wanachukua kiasi gani hapo wakuu?

Kwa basic salary ya 1,180,000/= HESLB wanachukua kiasi gani hapo wakuu?

Bado NSSF.
Bado chaM-KOPA.
Bado cha songesha.
Bado kwa mangi wadukani au gengeni.
Bado mwenye nyumba
Bado usafiri
Bado ya bia na kitimoto
Bado ya sadaka au fungu la kumi.
Bado ya ukoo wenu.

hizi ukitoa unaweza kujikuta mshahara una kopa tena
 
Ndio maisha ya watanzania wengi hamna kigeni hapo mkuu.
 
Back
Top Bottom