Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,982
- 51,157
Maana mbona idadi Kamili ya Hela anaijua. Sasa hapo si hesabu za kutafuta asilimia tu?Eti mvivu wa hesabu 🤣🤣🤣🤣
Maana mbona idadi Kamili ya Hela anaijua. Sasa hapo si hesabu za kutafuta asilimia tu?Eti mvivu wa hesabu 🤣🤣🤣🤣
Ana allergy na namba 🤣🤣🤣🤣Maana mbona idadi Kamili ya Hela anaijua. Sasa hapo si hesabu za kutafuta asilimia tu?
PoleNdo hivyo lakini wengine tushajichanganya!
Sasa ya ukoo, si lazima❌Bado NSSF.
Bado chaM-KOPA.
Bado cha songesha.
Bado kwa mangi wadukani au gengeni.
Bado mwenye nyumba
Bado usafiri
Bado ya bia na kitimoto
Bado ya sadaka au fungu la kumi.
Bado ya ukoo wenu.
hizi ukitoa unaweza kujikuta mshahara una kopa tena
Duh!Kweli bongo nyoso 😂😂Makato bila HESLB ni 22%+15 ya HESLB=37%Ajira utumwa🤣🤣🤣🤣
Shida kubwa huwa ni nne:Kuchukua mkopo wa miaka mingi ni upungufu wa akili timamu.
Bado hajaonga wadada wa JFBado NSSF.
Bado chaM-KOPA.
Bado cha songesha.
Bado kwa mangi wadukani au gengeni.
Bado mwenye nyumba
Bado usafiri
Bado ya bia na kitimoto
Bado ya sadaka au fungu la kumi.
Bado ya ukoo wenu.
hizi ukitoa unaweza kujikuta mshahara una kopa tena
Miaka mingi ni kuanzia mingapKuchukua mkopo wa miaka mingi ni upungufu wa akili timamu.
Platnumz credit wanamsubiria kwa hamuNdo unaanza kazi? Hiyo basic ni himilifu ikiwa tu hutaenda kuchukua mikopo ya bank ya muda mrefu! Ukichukua mkopo bank kuanzia miaka mitano kwenda mbele ni changamoto
Hapo ndo asijaribu bora akajifunge kwenye bank, microfinance ni issuePlatnumz credit wanamsubiria kwa hamuView attachment 3275550
Mbona interest zao ndogo 3.5%?Hapo ndo asijaribu bora akajifunge kwenye bank, microfinance ni issue
Jichanganye. Wakati benki nyingi ni 16 wao ni 42. Angalia kiambatanisho cha ess.Mbona interest zao ndogo 3.5%?
Na maisha hayaa
Hiyo ni kwa mweziMbona interest zao ndogo 3.5%?
Enzi za Kikwete ilikuwa 8% alivyoingia Magu akaongeza hadi 15%.Asilimia 15%.
Hapo wanakata 177,000/=
Du!! JF Wote matajiri ,hizo ni ZEREU.Huo ni mshahara au posho?
Kwa hiyo ulifanya kazi gani HESLB mpka watake kukukata hiyo hela ?Akili yako inakuambia kila mtu ni msomi kama wewe mkuu? Huu ujuaji upunguze.