Kwa basic salary ya 1,180,000/= HESLB wanachukua kiasi gani hapo wakuu?

Kama una privilege kama housing, transport, extra duty unatoboa
 
Pamoja na kupata msaada toka kwa wadau ila jitahidi ujifunze hizo hesabu ndogo ndogo za darasa la 6, kubadili namba kua asilimia, desimali na namba kamili.

Kutokujua hizi mambo ndio hufanya watumish wachukue mikopo mikubwa wasioiweza kwa kudanganywa kwa uzuri na watu wa benki.
All the same, point ni ile ile ya ujuaji.
By 98% nadhani najua hesabu kuliko wewe sio ya msingi tu, hata basic mathematics na sio hiyo tu hata advanced mathematics .
Nimeuliza hilo swali ili nipate uhalisia maana bodi ya mkopo imekuwa ikituhumiwa tofauti tofauti na watu kwa kitokuwa na uwazi wa baadhi ya mambo.
 
Ni ushauri kijana, punguza jazba rudi class upige msuli ujue hesabu ndogo ndogo kama hizo..

Sheria ipo wazi, chukua kikokotoo fanya hesabu zako, haziko sawa wafate bodi ya mikopo.
 
SHeria ipo wazi Tanzania?
Kweli pwagu
 
Bado NSSF.
Bado chaM-KOPA.
Bado cha songesha.
Bado kwa mangi wadukani au gengeni.
Bado mwenye nyumba
Bado usafiri
Bado ya bia na kitimoto
Bado ya sadaka au fungu la kumi.
Bado ya ukoo wenu.

hizi ukitoa unaweza kujikuta mshahara una kopa tena
...siyo lazima uishi hayo maisha
 
All the same, point ni ile ile ya ujuaji.
By 98% nadhani najua hesabu kuliko wewe sio ya msingi tu, hata basic mathematics na sio hiyo tu hata advanced mathematics .
Nimeuliza hilo swali ili nipate uhalisia maana bodi ya mkopo imekuwa ikituhumiwa tofauti tofauti na watu kwa kitokuwa na uwazi wa baadhi ya mambo.
Mkuu,
Ki uhalisia, swali lako na jinsi unavyo jipambanua unaleta ukakasi

1. Ofisi za board zipo, ukienda wanakupatia statement ya deni lako. Tena siku hizi hata kwa email wanakutumia!
2. Ilipitishwa toka 8% hadi 15%, sasa kama ni mdaiwa wa HESLB, haya ni mambo ambayo ulipaswa kujua
3. Mwisho kabisa, sitaki kuamini kama umeshindwa kukokotoa 15% ya Basic salary yako

Vinginevyo, nikutakie kila la heri kwenye majukumu yako mapya, na Roho Mtakatifu akutangulie, kazi yako ikafanyike baraka kwa jamii inayokuzunguka. Amina sana!
 
Niliuliza niliowakuta juu ya hivi vyama vya wafanyakazi.

Faida zao nikaambiwa kutoa miamvuli na fulana siku za wafanyakazi, nikauliza kama michango watakayonikata ninaweza kuja kuipata kama mkopo n.k. nikajibiwa hapana.

Nikauliza kama ni lazima kujiunga nikajibiwa hapana.

Nikayeya
 
Na kwa wale waliojiajiri, mkopo wanarejesha kwa namna ipi?.
 
Ikatokea anataka kurejesha anaweza kwenda kuweka stop order kwenye akaunti yake wakawa wanakata moja kwa moja. Na bodi inaelekeza kwamba aliyejiajiri awe anakatwa 1M (kama kumbukumbu zangu zipo sawa)
 
Niliuliza niliowakuta juu ya hivi vyama vya wafanyakazi.

Faida zao nikaambiwa kutoa miamvuli na fulana siku za wafanyakazi, nikauliza kama michango watakayonikata ninaweza kuja kuipata kama mkopo n.k. nikajibiwa hapana.

Nikauliza kama ni lazima kujiunga nikajibiwa hapana.

Nikayeya
Hakikisha hawajui kuwa hukatwi.

Wakijua wanaanza kukukata.

Wanawatumia HRs na weakness ya sheria ya ajira, kukata watu.

80% ya watu wanaokatwa hivyo vyama hawakujiunga.
 
Hizi TUGHE na wenzake kujiunga si option?
 
Ni option ila inaweza isiwe option.

Mostly watu hawajiungi ila wanakatwa na haya mavyama.

Wanatoa rushwa huko juu mpaka imekomaa
Ni kweli hawana msaada kwa member?
 
Back
Top Bottom