Kwa basic salary ya 1,180,000/= HESLB wanachukua kiasi gani hapo wakuu?

Kwa basic salary ya 1,180,000/= HESLB wanachukua kiasi gani hapo wakuu?

Bado NSSF.
Bado chaM-KOPA.
Bado cha songesha.
Bado kwa mangi wadukani au gengeni.
Bado mwenye nyumba
Bado usafiri
Bado ya bia na kitimoto
Bado ya sadaka au fungu la kumi.
Bado ya ukoo wenu.

hizi ukitoa unaweza kujikuta mshahara una kopa tena
Bado;
-PAYE
-NHIF
-TUICO
-Stipend for Parasites a.k.a PISI
 
Ni kweli hawana msaada kwa member?
Msaada labda upate kesi, na mwajiri wao wakusaidie kukuombea msamaha tu.

Ila kama ni mtu unajali kazi, hawana msaada zaidi ya kukufilisi tu.
 
Ikatokea anataka kurejesha anaweza kwenda kuweka stop order kwenye akaunti yake wakawa wanakata moja kwa moja. Na bodi inaelekeza kwamba aliyejiajiri awe anakatwa 1M (kama kumbukumbu zangu zipo sawa)
Standing order mkuu.. sio stop order
 
Nilikua nasubiri hii comment na nimeipata, unawaza mbususu tu😀
🤣🤣🤣🤣 Ah accountant mwenye cpa yake mambo vipi?
Umepotea weye au shemeji anakileza mapenzi.
Ah wee maisha magumu lakini ukipata mbususu unaenjoy tuu na kusahau kuwa una degree na unatakiwa ukajiunge veta
 
Nipo Veta Mzabzab, baada ya CPA sasa ni Veta tu..😀
Uwe unapumzika mbususu zitakuua😀
 
Back
Top Bottom