Kwa basic salary ya 1,180,000/= HESLB wanachukua kiasi gani hapo wakuu?

Kwa basic salary ya 1,180,000/= HESLB wanachukua kiasi gani hapo wakuu?

Bado NSSF.
Bado chaM-KOPA.
Bado cha songesha.
Bado kwa mangi wadukani au gengeni.
Bado mwenye nyumba
Bado usafiri
Bado ya bia na kitimoto
Bado ya sadaka au fungu la kumi.
Bado ya ukoo wenu.

hizi ukitoa unaweza kujikuta mshahara una kopa tena
Bado tughe
/Raawu 😀😀
 
Ndo unaanza kazi? Hiyo basic ni himilifu ikiwa tu hutaenda kuchukua mikopo ya bank ya muda mrefu! Ukichukua mkopo bank kuanzia miaka mitano kwenda mbele ni changamoto
Watanzania baadhi wanapenda Sanaa mikopo. Ukisha chukua mkopo then majority yetu hatunaga a,b,c za common financial issues..

Unamaliza pesa za mkopo then unaona kazi chungu..Mimi sioni umuhimu wa kuchukua mikopo ovyo ovyo bila kua na Jambo la maana la kufanya
 
Back
Top Bottom