FURAHA ni tiba ya Stress hata kama huna hela. Watanzania wengi walikosa FURAHA. Wakaishi stressful life. Acha tusheherekee mengine ni majaliwa.Hujui unachokiomba.Tatizo la Watanzania ni ufahamu,lack of diagnostic ability na kutojitambua.Pia tunaridhika sana na vitu vidogo dogo vyenye faida ya muda mfupi.Many times we do not even know what we want.Shiida kweli kweli.
Yapi? Mbona amesahaulika kwa speed ya radi?Mtamkumbuka kwa mazuri yake
Unasherehekea kwa kuwa hujitambui na hujui unalolitaka.Unasherehekea pia kwa kuwa mawazo yako yanalenga maslahi madogo ya muda mfupi,sio maslahi mapana ya kitaifa ya muda mrefu.Naweza pia kusema ni mbinafsi mno.FURAHA ni tiba ya Stress hata kama huna hela. Watanzania wengi walikosa FURAHA. Wakaishi stressful life. Acha tusheherekee mengine ni majaliwa.
RAIS mpya na maslahi mapana ya taifa yasiyo na ubaguzi na amechagua salamu ya umoja. "Ninawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano" Tunajibu "Kazi Iendelee" . Hivyo basi kazi haijasimama na inachapwa Kweli Kweli kwa maslahi mapana ya nchi na kwa Taifa kwa wote si kwa ukabila na ukanda.Unasherehekea kwa kuwa hujitambui na hujui unalolitaka.Unasherehekea pia kwa kuwa mawazo yako yanalenga maslahi madogo ya muda mfupi,sio maslahi mapana ya kitaifa ya muda mrefu.Naweza pia kusema ni mbinafsi mno.
Ushapiga mtandio basi ushaona umemaliza!!?Yapi? Mbona amesahaulika kwa speed ya radi?
Hahaha tulia sindano iingie MATAGA. Mungu wenu ameshasahaulika kwa speed ya radi. Na report ya leo ya CAG imemzika kabisa na pingu inabidi awekewe. Alitudanganya eti anapigana na ufisadi kumbe alikuwa anapigana na maadui zake waliozozana enzi akiwa Waziri, waliokuwa wanafadhili upinzani, ambao hawakumpigia kura 2015 n.k. Hivyo akawabatiza mafisadi na kuwabambikiza kesi nzito za uhujumu uchumi ili mali zao na pesa zitaifishwe. Pole sana Mh. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Kweli ameshapiga msumari wa uhakika. Mtaomba poo.Ushapiga mtandio basi ushaona umemaliza!!?
Hahaha tulia sindano iingie MATAGA. Mungu wenu ameshasahaulika kwa speed ya radi. Na report ya leo ya CAG imemzika kabisa na pingu inabidi awekewe. Alitudanganya eti anapigana na ufisadi kumbe alikuwa anapigana na maadui zake waliozozana enzi akiwa Waziri, waliokuwa wanafadhili upinzani, ambao hawakumpigia kura 2015 n.k. Hivyo akawabatiza mafisadi na kuwabambikiza kesi nzito za uhujumu uchumi ili mali zao na pesa zitaifishwe. Pole sana Mh. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Kweli ameshapiga msumari wa uhakika. Mtaomba poo.