Kwa 'body language' tu ya Mama azungumzapo huhitaji Akili Kubwa kujua ya kwamba...

Mungu ametuona Watanzania........
Tunamuombea heri rais wetu mama Samia
 
Amefanyia kazi vitu vyote alivyokataa baba.

Baba mbabe alikuwa hana muda wa kusikiliza hoja za watoto.Mama anaonekana amesikiliza hoja za watoto kwa muda wa miaka mitano na kuzielewa,inaonekana kila alipokuwa akiziwasilisha kwa baba zilikuwa zinapigwa chini?

Ndiyo hapo waposemaga "Women headed household" huwa sometimes inamove haraka zaidi
 
Mzew Mwinyi alisema mkono wa Mama ni dawa! Naona taratiiibu tunaponywa na gonjwa la ukandamizaji
 
Itakuwa umepatia, Ila ajue kwamba, atafanya yote Ila astarijie kupendwa na kila mtu
Amekwambia anataka kupendwa na kila mtu? Mama ni mwanasiasa mahiri na ana akili timamu usidhani kama anafikiri kupendwa na kila mtu kwasababu sio kitu ambacho kinawezekana, Ameamua kuongoza kwa misingi ya utu, upendo na haki.

Ninini kinakutesa?
 
Halafu kuna watu walitaka kuliongezea lile jamaa mitano tena¡!!!!! Sijui wanaishi Tanzania gani?[emoji3166]

Wee ipyana, kila zama na kitabu chake. Pambana na yaliyo mbele yako.
Sema kwa sababu ninyi ni watoto, je kuna raha na uhuru wa kijinga ambao watu waliupata katika kipindi cha kikwete??? lkn walimtukana kila uchao. Hivyo usifikiri huyu mama atakuwa analeta chakula mezani kwako, au kujaza pesa mifukoni mwako, bado wewe binafsi unahitaji kuwa na nidhamu na kujituma kulingana na malengo yako na Mwenyezi Mungu alivyokujalia.
 
Mama kukili kwamba vyuma vimekaza mtaani,pesa mifukoni hakuna,mashirika Mengi yanapata hasara,na ubabe mwingi wa kukusanya mapato,hii ni picha kubwa,jiwe alikuwa hamshirikishi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…