Kwa CCM kuingiza siasa kwenye taifa stars, dua langu ni kesho tuaibishwe na Morocco

Kwa CCM kuingiza siasa kwenye taifa stars, dua langu ni kesho tuaibishwe na Morocco

Tumekufa 2-0 wala siwezi kutembea kichwa chini eti kwa sababu tumefungwa.

Hawa ni wa kwanza afrika kwenye viwango vya Africa, ni wa 13 duniani kwa viwango vya FIFA, wapo juu sana lakini sisi tunao mwelekeo mzuri wa kuongeza idadi ya wachezaji wa kulipwa kwenye kikosi cha kwanza.

Roma haikujengwa ndani ya siku moja, tupo kwenye njia sahihi ya kuijenga Roma yetu.
Sisi wengine mioyon mwetu Kwa ndani kabisa Huwa hatuna excuses tunapo shindwa na hakuna kitu Huwa sipendi kama kushindwa na ndio maana kwenye chochote nilicho kipambania lazima nikipate....

Nyinyi endeleeni kujifariji na hamna timu mule...
 
Back
Top Bottom