chuma cha mjerumani
JF-Expert Member
- Dec 4, 2013
- 11,541
- 23,999
chadema sijui kwanini wanashindwa kuwatuma watu na mabango ya chadema, itasaidia pia kuwapunguza kihere here chawa wa mama
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bado unabaki kuwa mtanzaniaNaomba Morocco wafanye yao kesho kushindwa kwa Taifa stars ni kushindwa kwa CCM.
Tayari mkuuInabidi viongozi wa CCM wajue kuwa Tanzania ni nchi yenye vyama vingi vya siasa, iache kuvamia kila tukio la kitaifa kuwa la CCM.
Kitendo cha kuingiza kampeni za uchaguzi 2025 kwenye kutafuta nafasi ya Kombe la Dunia 2026, sisi tusioiunga mkono CCM tutaanza kufunga na kuomba dua ili tufungwe katika michezo iliyobaki kuanzia kesho, amina.
Ww utaelekea utotoni kwa kutetea majizi.Utazeeka na malalamiko yako mengi hapa JF, pole sana mkuu.
Hiyo utajua ww, hatutaki siasa za kiki za kishamba za ccm kwenye team ya taifa. Mmeshaipotezea siasa mvuto kwa sababu ya kulazimisha kupora chaguzi zetu, Sasa mnalazimisha kuonekana kwenye mambo yasiyohitaji siasa zenu za kishamba. Hatuwataki, hivyo acheni kunajisi team yetu ya taifa.Tumekufa 2-0 wala siwezi kutembea kichwa chini eti kwa sababu tumefungwa.
Hawa ni wa kwanza afrika kwenye viwango vya Africa, ni wa 13 duniani kwa viwango vya FIFA, wapo juu sana lakini sisi tunao mwelekeo mzuri wa kuongeza idadi ya wachezaji wa kulipwa kwenye kikosi cha kwanza.
Roma haikujengwa ndani ya siku moja, tupo kwenye njia sahihi ya kuijenga Roma yetu.
Juzi walienda uwanjani na bendera ya cdm kwenye mechi ya Simba na yanga, chawa wamelalama ile mbaya.chadema sijui kwanini wanashindwa kuwatuma watu na mabango ya chadema, itasaidia pia kuwapunguza kihere here chawa wa mama
AahaaaaaCCM wapo wapo tu ka marehemu mtalajiwa anayesuburi kukata kauli, popopte kwenye ahueni ahueni utawaona na mabango yao..wanakera sana.
hiyoo ndo inatakiwa iwe dawa.Juzi walienda uwanjani na bendera ya cdm kwenye mechi ya Simba na yanga, chawa wamelalama ile mbaya.
Mpira wetu unazidi kufunguka tunaendelea kugundua uwepo wa wachezaji professional watanzania huko ughaibuni..... Nilikuwa kazini .... kazini mwaka wa 5 ...jiongeze Sasa ...... Sasa nina early 40's....
Tofauti na hilo, tangu lini Tz tukacheza kombe la dunia.? Yani hata ulichosema kisipotimia na kesho tukapata ushindi bado hatuwezi na haitakaa itokee kwenda kombe la dunia
Ndani ya miaka sita ya karibuni tunacheza AFCON mbili kiwango kinaendelea kubadilika.Ccm Majinga kabisa na taifa stars ni kichwa cha mwendawazimu
Hakuna uhusiano kati ya mpira na siasa. Ivory Coast wakiwa vitani mwaka 2010 walicheza kombe la dunia kule Afrika ya kusini.Ccm ikifa pamoja na vibaraka wake akina Zitto Kabwe basi taifa stars itaenda world cup
Itatokea endapo CCM wataacha ujinga wao na tukawa na academy za kutoshaTofauti na hilo, tangu lini Tz tukacheza kombe la dunia.? Yani hata ulichosema kisipotimia na kesho tukapata ushindi bado hatuwezi na haitakaa itokee kwenda kombe la dunia
Wewe utaendelea kuandamana humu jamii forum 😂😂😂pole sana Mkuu Tindo.Hiyo utajua ww, hatutaki siasa za kiki za kishamba za ccm kwenye team ya taifa. Mmeshaipotezea siasa mvuto kwa sababu ya kulazimisha kupora chaguzi zetu, Sasa mnalazimisha kuonekana kwenye mambo yasiyohitaji siasa zenu za kishamba. Hatuwataki, hivyo acheni kunajisi team yetu ya taifa.