Kwa CCM kuingiza siasa kwenye taifa stars, dua langu ni kesho tuaibishwe na Morocco

Sisi wengine mioyon mwetu Kwa ndani kabisa Huwa hatuna excuses tunapo shindwa na hakuna kitu Huwa sipendi kama kushindwa na ndio maana kwenye chochote nilicho kipambania lazima nikipate....

Nyinyi endeleeni kujifariji na hamna timu mule...
 
CCM wapo wapo tu ka marehemu mtalajiwa anayesuburi kukata kauli, popopte kwenye ahueni ahueni utawaona na mabango yao..wanakera sana.
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…