Kwa CHADEMA kuwa Rafiki na Chama cha Kikiristo cha UJERUMANI, Wanafuata Mrengo wa chama hicho?

Kwa CHADEMA kuwa Rafiki na Chama cha Kikiristo cha UJERUMANI, Wanafuata Mrengo wa chama hicho?

Status
Not open for further replies.
Udini mara ugaidi, hivi ninyi ccm mtaacha lini kuchonganisha watanzania? Tumewazoea hamna jipya. Soma historia ya Ujerumani baada ya vita kuu ya pili ya Dunia ndo utaelewa au kujua kuwa CDU NA CSU vilianzaje? La sivyo wewe ni mburula tu huna lolote
vyovyote vitakavyoanza lakini ni christian party, mbona chadema ilianza kama NGO ya familia ya Mzee Mtei ikiitwa "Chagga Development Manifesto" na sasa si unaona matokeo yake jinsi chama kilivyokuwa cha kichagga?

 
hapo chadema imeingiaje? mbona haumzungumzii na yule kada wa CDU ambaye alikuwa balozi wa ujerumani Kenya na akateuliwa kuwa balozi nchini na serikali yetu imemkataa?

Inawezekana hujui unachokiongelea hapa.. And if that's a case.... gimme break..
 
Chadema kina urafiki na wafadhili wakuu ni CDU ni waasisi siasa zenye msingi wa ukatoliki,CDU hufadhili chama ambacho kilicho tayari kufuata masharti yake, sharti kuu ni "applying the principle of Christian democracy" CDU inakataa uanachama wa uturuki kwenye EU. Ikumbukwe uturuki ina waislamu zaidi ya 85%



Nimeuliza wanashirikiana kwenye maeneno gani?
 
Tatizo unataka kulipiza ule wimbo wa URIBERALI wa CUF!Kwa bahati mbaya hata sauti ya kuimbia huna!!!

Yaani unataka kuulinganisha uhusiano wa CUF na chama cha kishoga na ule wa CDM na chama cha kikristo?
Kwanza dini zote zinapinga ushoga,pili ukristo ni dini ya amani na upendo au umewahi kusikia wakristo WANAWALIPUA WATU KWA MABOMU?

naona huna cha kujibu umeishiwa hoja ukweli unabaki hivyo cdm ni chama cha kikristo ndiyo maana zzaidi aslimia 89% ya mabunge wake ni cristian,
 
PePo MTOKE HUYU MWENYE HISIA ZA KUSAMBARATISHA CHADEMA KWA BIDII ZA KUFA NA KUPONA dhana yako chafu ya maji taka haiwezi kufanya kazi ktk wakati huu ambao kila mtanzania hawezi kuongopewa na ajenda yako ya UDINI, urafiki baina ya mtu na mtu au taasisi na taasisi mradi ni kwa nia NJEMA hauzuiliwi
 
mkuu, kwanza lazima utambue kuwa ushirikiano wa mtu na mtu ni tofauti na chama au taasisi. vyama hushirikiana vile ambavyo vina sera zinazolingana. bibafsi naona kuna hoja hapo imejificha hasa kutokana na hulka za viongozi wa chadema kuwa na upendeleo wa wazi wa kidini
upendeleo gani wameufanya mkuu?
 
Wadau,


Wakati wa Kampeni za uchaguzi nchini Ujerumani zikiwa zimepamba moto, tumeshuhudia muungano wa vyama kwa misingi ya itikadi za vyama hivyo. CDU cha Angel Merkel ambacho ni cha Kikristo, kinashirikiana na vyama vingine vyenye mrengo wa kikristo kikipambana na vyama vingine vya mrengo wa kati. Ikumbukwe kuwa CDU ndo chama rafiki cha CHADEMA na wamekuwa wakiitumia taasisi ya KAS kutengeneza vyama vibaraka ulimwenguni kote ambavyo vinafuata mrengo wa Kikristo. Kutokana na Katiba ya hapa Tanzania kutoruhusu vyama vya mrengo huo, tumeshuhudia CHADEMA wakitekeleza sera za CDU kwa kificho. kwa CHADEMA kuwa rafiki na chama cha kikristo na kutokana na chama hicho kuwa na mwelekeo wa kupendelea watu wa dini ya kikristo hasa katika kupanga safu ya uongozi na uteuzi wa nafazi za wagombea, je si wakati muafaka sasa wa kukifuta chama hiki? Tujiridhishe jinsi wajerumani wenyewe wanavyoelezea muungano wa vyama hivyo;


Neck-And-Neck Race Ups Grand Coalition Chances

A neck-and-neck race between Chancellor Angela Merkel’s center-right coalition and the center-left opposition parties increases the likelihood of a grand coalition in Germany, according to a poll published Tuesday.

Ahead of Sunday elections, the findings of Forsa institute indicate only two coalitions would have a workable majority.
First, a grand coalition between Ms. Merkel’s Christian Democrats, the Bavarian Christian Social Union sister party and the opposition Social Democrats would get a solid majority to run the next government.
A second possibility would be a coalition between the Christian Democrats and their Christian Social Union partner with the opposition Greens, but this is unlikely due to disagreement on issues like national security and the environment.
In Tuesday’s poll, Ms. Merkel’s present coalition with the pro-business Free Democrats secured 44% in combined support, based on 39% for the Christian Democrats and Christian Social Union, and 5% for the Free Democrats.
The Social Democrats of chancellor candidate Peer Steinbrueck, the Greens and Left party also had 44% in combined support. Of that, the Social Democrats had 25%, the Left party 10% and the Greens 9%.
The apparent stalemate comes as support slipped for Ms. Merkel’s coalition partner, the Free Democrats. At 5%, the party was one percentage point lower than last week, casting doubt on whether election day would see it meet the 5% threshold needed to enter parliament.
The euro-skeptic party Alternative for Germany remained at 3%, but Forsa said it is hard to predict turnout because voters aren’t openly expressing support for the new party.

Muulize Membe kuwa kwakuwa CDU mambacho ndio chama cha kiongozi wa Ujerumani ni cha mlengo wa kikristo Tanzania bado ni mshirika wa Ujerumani wakati katiba ya Tanzania inakataza mlengo wa kidini? Usiwe nvivu wa kufikiri ndugu urafiki hauchagui dini, kabira wala rangi nk ni maelewano. Hapa watanzania ni marafiki na nchi zinazo endeshwa kidini hapo unasemaje?
 
ukaribu na urafiki wa chdm na cdu ni hatari kwa amani ya nchi yetu
 
sasa hapo uzushi na propanganda ziko wapi?
-je chadema hawana ushirikiano na The Christian Democratic Union of German?
-au hicho chama mshirika hakina mlengo kwa kidini?
-hapa sasa wewe mwenyewe jiulize iwapo viongozi wako wameamua kushikamana na chama chenye mlengo wa kikatoliki agenda yao nini?

hata kama wangeshirikiana na chama chenye mlengo wa kiislamu sio tatizo. Labda wangeungana kama vyama! Hata kama chama mnatofautiana mlengo kuna mambo wanaweza shirikiana!
 
Kwanza fahamu kuwa ukristo sio ukatoliki kama unavyotaka kupata huruma za watu kupitia post yako. Pili, hivi unaposhirikiana na mtu ambaye mna mlengo tofauti nawe ni lazima uwe umechukua tabia zake zote? Umewaijiuliza kuwa CHADEMA wanashirikiana na vyama vingapi na kwenye maeneo gani? Maana usitake watu waamini kuwa kama wewe Muislamu, ukashirikiana na Mkristo basi Muislamu kafanya dhambi kubwa sana...La msingi, tujiulize CHADEMA wanashirikiana na vyama vingapi na kwenye maeneo gani? Hivi umewai sikia kiongozi yeyote wa CHADEMA amesema CHADEMA ni chama cha wakristo? Kama unadhani hii propaganda bado inauza unajidanganya, rudi tena studio, hizi ni propaganda tulizochoka nazo.
nakuunga mkono mkuu 100%.
 
Cdm sio chama cha kitaifa,bali ni cha kikristo mbona waslamu wengi wanakijuwa hicho ndiyo maana kimetamalaki maeneo hayo hayo ya kanisa na makada wake ni mapadre na wachungaji,masikofu hilo halipngiki.cdm wadini sana wakanda sana wakabila sana mafisadi sana wabinafsi sana,lakini huo ndiyo mfumo wa kanisa na hao wakingia madarakani wanataka kuendeleza mfumo kristo,kiukweli chama hiko mtu mwenye akili zake timamu hingii, hamna chama umo muna kanisa tu
mkuu lini utalipenda taifa letu kwa dhati? Je unafikiri maneno yako haya yanaleta mshikamo na umoja ndani ya taifa letu? Any way Allah akuongoze katika kutenda na kufikiri yalio mema!
 
Unajua tatizo la vibaraka wa ccm wanasahau kwamba kila wanapotumia udini kudhoofisha upinzani na wao wanajidhoofisha kuliko upinzani na pia wanasahau uharibu wanaouleta hata wao watashindwa kuuzuia endapo nchi ikianza kubaguana kwa itikadi za kidini. Kwa mara ya kwanza tumeshuhudia nyumba za ibada zikichomwa moto, kudhalilishana na kashfa za kukashifu dini za watu wengine zikiendelea. leo hii bdo kuna baadhi ya nyumba za ibada kuna kanda zinakashifu dini za wengine na unakuta zimewekwa nje ya nyumba hizo za ibada na watu wanaziangalia.

Mnapotumia udini kudhoofisha upinzani mnapaswa kujua mnatengeneza ufa ndani ya Taifa na ccm kama chama kinachoongoza serikali hii mnazidi kuwafumbua macho watanzania kuona kwamba ni jinsi gani ampaswi kuliongoza taifa hili kwani mpaka sasa machafuko yaliyotokea na yanayoendelea kutokea yanadhihirisha hilo.
kwa kiasi fulani nakuunga mkono ndugu...
 
naona huna cha kujibu umeishiwa hoja ukweli unabaki hivyo cdm ni chama cha kikristo ndiyo maana zzaidi aslimia 89% ya mabunge wake ni cristian,
mbona viongozi wengi wa ccm sio wakristo? Je ccm ni chama cha kiislamu?
 
Marafiki daima hufanana mitazamo na mawazo hapo jibu ni ndiyo cdm lazima wafuate mlengo huo.
 
Kumbe ndio kwanza leo ulijue hilo?mbona sisi tunajua zamani sana,unaosema ni kweli na haina kificho,na ndio maana watanzania wengi sana wanakipenda chadema lkn wanashindwa hapo tu kwenye udini,wanaogopa sana kutawaliwa kidini maana watafuata mpaka sera,mm ni mwanachama wa chadema lkn hilo halina ubishi wala tusibishe kwa kuwa tunakipenda chama chetu,ukweli tujitayarishe kuongozwa na Padre Dk Slaa.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom