Kwa CHADEMA kuwa Rafiki na Chama cha Kikiristo cha UJERUMANI, Wanafuata Mrengo wa chama hicho?

Status
Not open for further replies.
Udini mara ugaidi, hivi ninyi ccm mtaacha lini kuchonganisha watanzania? Tumewazoea hamna jipya. Soma historia ya Ujerumani baada ya vita kuu ya pili ya Dunia ndo utaelewa au kujua kuwa CDU NA CSU vilianzaje? La sivyo wewe ni mburula tu huna lolote
vyovyote vitakavyoanza lakini ni christian party, mbona chadema ilianza kama NGO ya familia ya Mzee Mtei ikiitwa "Chagga Development Manifesto" na sasa si unaona matokeo yake jinsi chama kilivyokuwa cha kichagga?

 
hapo chadema imeingiaje? mbona haumzungumzii na yule kada wa CDU ambaye alikuwa balozi wa ujerumani Kenya na akateuliwa kuwa balozi nchini na serikali yetu imemkataa?

Inawezekana hujui unachokiongelea hapa.. And if that's a case.... gimme break..
 

Nimeuliza wanashirikiana kwenye maeneno gani?
 

naona huna cha kujibu umeishiwa hoja ukweli unabaki hivyo cdm ni chama cha kikristo ndiyo maana zzaidi aslimia 89% ya mabunge wake ni cristian,
 
PePo MTOKE HUYU MWENYE HISIA ZA KUSAMBARATISHA CHADEMA KWA BIDII ZA KUFA NA KUPONA dhana yako chafu ya maji taka haiwezi kufanya kazi ktk wakati huu ambao kila mtanzania hawezi kuongopewa na ajenda yako ya UDINI, urafiki baina ya mtu na mtu au taasisi na taasisi mradi ni kwa nia NJEMA hauzuiliwi
 
upendeleo gani wameufanya mkuu?
 

Muulize Membe kuwa kwakuwa CDU mambacho ndio chama cha kiongozi wa Ujerumani ni cha mlengo wa kikristo Tanzania bado ni mshirika wa Ujerumani wakati katiba ya Tanzania inakataza mlengo wa kidini? Usiwe nvivu wa kufikiri ndugu urafiki hauchagui dini, kabira wala rangi nk ni maelewano. Hapa watanzania ni marafiki na nchi zinazo endeshwa kidini hapo unasemaje?
 
ukaribu na urafiki wa chdm na cdu ni hatari kwa amani ya nchi yetu
 
hata kama wangeshirikiana na chama chenye mlengo wa kiislamu sio tatizo. Labda wangeungana kama vyama! Hata kama chama mnatofautiana mlengo kuna mambo wanaweza shirikiana!
 
nakuunga mkono mkuu 100%.
 
mkuu lini utalipenda taifa letu kwa dhati? Je unafikiri maneno yako haya yanaleta mshikamo na umoja ndani ya taifa letu? Any way Allah akuongoze katika kutenda na kufikiri yalio mema!
 
kwa kiasi fulani nakuunga mkono ndugu...
 
naona huna cha kujibu umeishiwa hoja ukweli unabaki hivyo cdm ni chama cha kikristo ndiyo maana zzaidi aslimia 89% ya mabunge wake ni cristian,
mbona viongozi wengi wa ccm sio wakristo? Je ccm ni chama cha kiislamu?
 
Marafiki daima hufanana mitazamo na mawazo hapo jibu ni ndiyo cdm lazima wafuate mlengo huo.
 
Kumbe ndio kwanza leo ulijue hilo?mbona sisi tunajua zamani sana,unaosema ni kweli na haina kificho,na ndio maana watanzania wengi sana wanakipenda chadema lkn wanashindwa hapo tu kwenye udini,wanaogopa sana kutawaliwa kidini maana watafuata mpaka sera,mm ni mwanachama wa chadema lkn hilo halina ubishi wala tusibishe kwa kuwa tunakipenda chama chetu,ukweli tujitayarishe kuongozwa na Padre Dk Slaa.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…