Umemaliza?
Acha nikukumbushe CCM ndiyo walikuwa wanakinadi chama cha CUF Kuwa ni cha kidini lakini cha ajabu leo wamefunga NDOA nacho,Hivyo rekebisha kumbukumbu zako.
VYAMA VINGINE VYENYE URAFIKI NA CHADEMA
Ecuador Social Christian Party PSC in opposition
Georgia Christian-Democratic Movement
KDM in opposition
Germany Christian Democratic Union CDU leader of government coalition
Christian Social Union of Bavaria CSU leader of government coalition in Bavaria, junior party in federal government coalition
Peru Christian People's Party PPC in opposition
jE MPAKA HAPO UNASEMAJE.
Kwa kweli haileti picha nzuri ingefaa chadema iondoshe ushirikiano na hivi vyama vinawachafua sana.VYAMA VINGINE VYENYE URAFIKI NA CHADEMA
Ecuador Social Christian Party PSC in opposition
Georgia Christian-Democratic Movement
KDM in opposition
Germany Christian Democratic Union CDU leader of government coalition
Christian Social Union of Bavaria CSU leader of government coalition in Bavaria, junior party in federal government coalition
Peru Christian People's Party PPC in opposition
jE MPAKA HAPO UNASEMAJE.
Nimewaambia mara nyingi na leo narudia bila kificho... Kwamba CCM haina watetezi wa kweli... Humu mtandaoni kuna watu wanaojifanya kuwa ni wana - CCM lakini siyo. Ni Waislamu wachache walioaminishwa kuwa kwakuwa viongozi wakuu wa serikali, CCM, na polisi n.k. sehemu kubwa ni dini moja basi CCM ni chama cha dini moja..
Wote hao hawana uchungu na CCM.
Kundi hili limesahau kwamba:
1. CCM imewahi kujifanya kuwa chama cha kikristo mwaka 1996 -2005 na kuita CUF ni chama cha WAISLAMU ili wapate kura za wakristo wengi.
2. Leo CCM tena imejifanya ni chama cha waislamu na kuunda safu ya juu ikiwa na waislamu wengi 2006 -2015, na sasa mmeaminishwa ni chama cha waislamu na zaidi ya yote mnakesha mitandaoni kukijenga "CHAMA CHA WAISLAMU"..
Ghadafi alikuwa kiongozi wa nchi siyo kiongozi wa dini.Hivi wakristo hatuna haki nchi hii? Mbona hamkusema kuhusu Ghadafi na CCM?
tatizo unataka kulipiza ule wimbo wa uriberali wa cuf!kwa bahati mbaya hata sauti ya kuimbia huna!!!
Yaani unataka kuulinganisha uhusiano wa cuf na chama cha kishoga na ule wa cdm na chama cha kikristo?
Kwanza dini zote zinapinga ushoga,pili ukristo ni dini ya amani na upendo au umewahi kusikia wakristo wanawalipua watu kwa mabomu?
Uislamu wake aliuweka kapuni? Hukumbuki alipomsaidia IDD Amini kuichapa Tanzania kwa misingi ya udini?Ghadafi alikuwa kiongozi wa nchi siyo kiongozi wa dini.
Nakubaliana na wewe. Lakini ni muhimu kumjibu -------- sawasawa na upumbavu wake. Nakuhakikishia kwamba kwa kiasi kikubwa wameanza kuelewa.Ukiona mtu bado anaamini kwenye maiti a.k.a mtume muddy usitegemee aje na topic yenye mashiko hapa jukwaani. Dont argue with a fool coz he's gonna drag you down to his level and beat you with experience.
Kwa kweli haileti picha nzuri ingefaa chadema iondoshe ushirikiano na hivi vyama vinawachafua sana.
hapa chadema hawachomoi ni dhahiri hiki ni chama cha udini tena cha zaidi wote ni wakatoliki hivyo vyama na viongozi wa chadema
Sasa humu JF unatafuta mchumba?Wacha ujinga uo ccm chadema na cuf wote shirika moja, mtapiga kura mpka mtamaliza mtaishia kupewa vijiko tu majungu makuuu wamezuia wahusika, mkuuu amken, wananch mnapigana viongoz wanakutana kwenye vikao wanakula wanafurah wanapeana pesa wanaenda kula na familia zao,,,, wewe namie tunaishia kulumbana kwenye jamiii forum
Sasa humu JF unatafuta mchumba?
Ghadafi alikuwa kiongozi wa nchi siyo kiongozi wa dini.