Kwa CHADEMA kuwa Rafiki na Chama cha Kikiristo cha UJERUMANI, Wanafuata Mrengo wa chama hicho?

Kwa CHADEMA kuwa Rafiki na Chama cha Kikiristo cha UJERUMANI, Wanafuata Mrengo wa chama hicho?

Status
Not open for further replies.
Umemaliza?

Wacha ujinga uo ccm chadema na cuf wote shirika moja, mtapiga kura mpka mtamaliza mtaishia kupewa vijiko tu majungu makuuu wamezuia wahusika, mkuuu amken, wananch mnapigana viongoz wanakutana kwenye vikao wanakula wanafurah wanapeana pesa wanaenda kula na familia zao,,,, wewe namie tunaishia kulumbana kwenye jamiii forum
 
Acha nikukumbushe CCM ndiyo walikuwa wanakinadi chama cha CUF Kuwa ni cha kidini lakini cha ajabu leo wamefunga NDOA nacho,Hivyo rekebisha kumbukumbu zako.

That is precisely what meant:POLITICS
 
VYAMA VINGINE VYENYE URAFIKI NA CHADEMA

Ecuador
Social Christian Party PSC in opposition
Georgia Christian-Democratic Movement
KDM in opposition
Germany Christian Democratic Union CDU leader of government coalition
Christian Social Union of Bavaria CSU leader of government coalition in Bavaria, junior party in federal government coalition
Peru Christian People's Party PPC in opposition

jE MPAKA HAPO UNASEMAJE.

hapa chadema hawachomoi ni dhahiri hiki ni chama cha udini tena cha zaidi wote ni wakatoliki hivyo vyama na viongozi wa chadema
 
...........Unataka kusema Serikali ya CCM kuruhusu Vatican kuwa na ubalozi wake hapa Tanzania inamaanisha kuwa serikali ya CCM na Chama chake ni vya Kikatoliki?.

Tuondolee upumbavu na njaa yako ya buku 7, kila kitu mnataka kuleta habari zenu za udini na ukabila ili kuwabagua Watanzania kwa misingi hiyo. Kama umekosa cha kuandika ni heri ukae kimya utaonekana una busara kuliko ku-expose utaahira wako kwa kuandika vitu visivyo na mashiko.
 
..............CUF nao mbona wana urafiki na Chama chenye mrengo wa Kiliberali ambacho kinaunga mkono vitendo vya Kishoga halafu CCM wameungana na CUF huko Zanzibar kuunda serikali ya Mseto, hapo inamaana CCM na CUF wote Mashoga? ebo fafanua kidogo wewe Lizaboni
 
VYAMA VINGINE VYENYE URAFIKI NA CHADEMA

Ecuador
Social Christian Party PSC in opposition
Georgia Christian-Democratic Movement
KDM in opposition
Germany Christian Democratic Union CDU leader of government coalition
Christian Social Union of Bavaria CSU leader of government coalition in Bavaria, junior party in federal government coalition
Peru Christian People's Party PPC in opposition

jE MPAKA HAPO UNASEMAJE.
Kwa kweli haileti picha nzuri ingefaa chadema iondoshe ushirikiano na hivi vyama vinawachafua sana.

Nimewaambia mara nyingi na leo narudia bila kificho... Kwamba CCM haina watetezi wa kweli... Humu mtandaoni kuna watu wanaojifanya kuwa ni wana - CCM lakini siyo. Ni Waislamu wachache walioaminishwa kuwa kwakuwa viongozi wakuu wa serikali, CCM, na polisi n.k. sehemu kubwa ni dini moja basi CCM ni chama cha dini moja..
Wote hao hawana uchungu na CCM.
Kundi hili limesahau kwamba:
1. CCM imewahi kujifanya kuwa chama cha kikristo mwaka 1996 -2005 na kuita CUF ni chama cha WAISLAMU ili wapate kura za wakristo wengi.
2. Leo CCM tena imejifanya ni chama cha waislamu na kuunda safu ya juu ikiwa na waislamu wengi 2006 -2015, na sasa mmeaminishwa ni chama cha waislamu na zaidi ya yote mnakesha mitandaoni kukijenga "CHAMA CHA WAISLAMU"..

wamesahau kuwa 2015 hakuna muislam kuwa rais wa CCM.
 
Hivi wakristo hatuna haki nchi hii? Mbona hamkusema kuhusu Ghadafi na CCM?
 
Ukiona mtu bado anaamini kwenye maiti a.k.a mtume muddy usitegemee aje na topic yenye mashiko hapa jukwaani. Dont argue with a fool coz he's gonna drag you down to his level and beat you with experience.
 
tatizo unataka kulipiza ule wimbo wa uriberali wa cuf!kwa bahati mbaya hata sauti ya kuimbia huna!!!

Yaani unataka kuulinganisha uhusiano wa cuf na chama cha kishoga na ule wa cdm na chama cha kikristo?
Kwanza dini zote zinapinga ushoga,pili ukristo ni dini ya amani na upendo au umewahi kusikia wakristo wanawalipua watu kwa mabomu?

ireland kaskazini kulikuwaje? Unakumbuka kuwa watu wengi walilipuliwa kwa mabomu? Je hujui kuwa vita ile ilikuwa na chembechembe za udini? Na nra huko uganda wasemaje? Si nacho yale yale? Ukweli ni kwamba hizo hisia za udini katika vita ni za bandia. Wazungu wanazipandikiza kutugawa ili watuibie kama sio kutuzamisha katika vita ili wauze silaha. Amkeni jama tumia akili za kuzaliwa. Hakuna cha dini hapa ni biashara ya silaha inatutafuna. Vyuo vyote hapa tz bado wabongo twashinda kung'amua mitego? Mungu ibariki tz mungu wabariki wabongo.
 
Ukiona mtu bado anaamini kwenye maiti a.k.a mtume muddy usitegemee aje na topic yenye mashiko hapa jukwaani. Dont argue with a fool coz he's gonna drag you down to his level and beat you with experience.
Nakubaliana na wewe. Lakini ni muhimu kumjibu -------- sawasawa na upumbavu wake. Nakuhakikishia kwamba kwa kiasi kikubwa wameanza kuelewa.
 
hapa chadema hawachomoi ni dhahiri hiki ni chama cha udini tena cha zaidi wote ni wakatoliki hivyo vyama na viongozi wa chadema

Udini ukipandikizwa hata CCM haichomoki.. Leo baadhi yenu mnaiona CCM kuwa ni chama cha dini yenu.. Itaponea wapi 2015 mtakaporudi CUF baada ya Edward au Bernadi Kugombea?
 
Wacha ujinga uo ccm chadema na cuf wote shirika moja, mtapiga kura mpka mtamaliza mtaishia kupewa vijiko tu majungu makuuu wamezuia wahusika, mkuuu amken, wananch mnapigana viongoz wanakutana kwenye vikao wanakula wanafurah wanapeana pesa wanaenda kula na familia zao,,,, wewe namie tunaishia kulumbana kwenye jamiii forum
Sasa humu JF unatafuta mchumba?
 
kama A anashindana na B basi mmoja anapofanikiwa ni kero kwa yule wa pili. jealousy ni sifa moja wapo ya mwanadamu. kwa nini chadema na si TLP,UDP, Chausta..?
 
Ghadafi alikuwa kiongozi wa nchi siyo kiongozi wa dini.

dini ya ukristo haijafungamana na siasa kama ilivyo uislam, YESU (siyo ustadh isa) alisema ya Kaisari mpe Kaisari. Uislam ni siasa pia, ndo maana ya vurugu za kadhi. Islamic countries zote ni dini ya kiislam. Kwa hiyo nasi tudai ubalozi wa Israel kwani Biblia imeandika 'amelaaniwa anayeikataa Israeli' Mwanzo 12:1-3
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom