Supapawa
JF-Expert Member
- Aug 29, 2026
- 1,076
- 2,690
Dogo wewe si mtumikizi kabisa pale kanisani kwenu? Sasa iweje unataka kuingia majaribuni.CONNECTION
Dogo wewe si mtumikizi kabisa pale kanisani kwenu? Sasa iweje unataka kuingia majaribuni.CONNECTION
Iko kwenye masjala.Ipo wapi mkuu
Watu wanakabia kwa juuIla unanipa kazi sana kufanya imagination wa hilo tukio, unajua sisi mambo hayo hatukuwahi kuyaona mwaka 47
Hebu nitumie nione, isije kuwa mnazúngumzia vita za Maji Maji 🤪
Miss you more fantastic 😍Mic u mahi diha, 💋
Pia waxing inafanya K isiwe na harufu za ajabuIla kale kadada kasafi sanaaaa, ndio raha ya kufanya waxing, panakua soft hakuna vipele wala weusiiiiii
CONNECTIONWoooooozaaaaaaaaaaaa
😘😘Miss you more fantastic 😍
Lol, tenaaaaaaaCONNECTION
Mwanamke anayefanya waxing huko chini, anaongeza mvutoPia waxing inafanya K isiwe na harufu za ajabu
Kweli Wazee hatuna bahati 🥲Watu wanakabia kwa juu
Mnooo kuna wengine wanashave kwa cream kama veet yale madude yanazalisha sana harufu mbayaPia waxing inafanya K isiwe na harufu za ajabu
Amna braza, we nitumie tu. Moto upo kwa ajili yetu.Dogo wewe si mtumikizi kabisa pale kanisani kwenu? Sasa iweje unataka kuingia majaribuni.
nina wasiwasi nae ameliwa sana Ndogo na konde boy. Ndio maana mchizi yeye yupo obsessed na mishangazi..kwasababu huwa sio wachoyo kutoa SIM 2Mtaro umetifuliwa kona zote hehehehe na kale kabinti kazoefu jamani sio kwa kuililia vile,
Kama namuona bibi Amara atakavyobuliwa na gen z wa insta na tiktok, wampokonye simu tu
Embi nitumie na mie pmNchi hii hadi siku ya hukumu ya lissu ifike, tutakua tuko hoi, maana hata mkoromo wa PM haujasahaulika, tumesogezewa conns ya konde na tipwa lake.
Alooooooh 🔥🔥🔥
Mi sina mkuu, nimeandika tu kama utani.Amna braza, we nitumie tu. Moto upo kwa ajili yetu.
Fimbo inayoua nyoka, ile iliyopo mkononi 🤭Chagua unanitaka mie au Coca au tuje wote babu, ila andika wosia kabisa hatutaki kukaa jela,
Dawa za presha ziwe karibu karibu, lol
CONNECTIONUkitaka kujionea video tajwa, ya tembo, andika neno 'connection' kwa herufi kubwa nami bila ajizi nitakutumia PM.
Kazi ni kwako 😎