Kwa CV hii ya Msigwa! Je, ni eligible kuweza kusimamia maliasili na utalii??

Status
Not open for further replies.
Una maana gan mkuu? Maana huwa anasema AKILI NDOGO HAIWEZI KUONGOZA AKILI KUBWA
Ana kadigrii ka uchochoroni kanakompa mchecheto, na tumemwona kwenye TV ,thinking capacity ni ndogo sana-mithili ha F4F.
 
Kupitia wasifu uliopo katika tovuti rasmi ya bunge, mbunge wa Iringa mjini "Mchungaji" Peter Msigwa imebainika kua ameweka maelezo ya uwongo katika CV kua kasoma degree katika chuo kimoja huko mjini Durban Afrika kusini.

Katika wasifu huo unaonesha eti Msigwa kasoma degree ndani ya mwaka mmoja wa 2004 hadi 2004 na akawa kamaliza na kutunikia degree hiyo. Kwa navojua mimi degree duniani kote ni miaka 3 kuendelea ila ya huyu Msigwa kaipata ndani ya mwaka mmoja.

Swali je wakianza kukagua vyeti feki kwa wabunge wabunge kama hawa watapona kweli? Na huyu ndo anajiita mchungaji ana uchungaji gani na kuweka maekezo ya uwongo namna hii.
 
Wakikagua vyeti ukweli utajulikana, otherwise ni tuhuma tu.
 
Kupitia wasifu uliopo katika tovuti rasmi ya bunge , mbunge wa iringa mjini "Mchungaji" peter msigwa imebainika kua ni " kihiyo" au " kihiyo" kutokana na kuweka maelezo ya uwongo katika cv kua kasoma.degree katika chuo kimoja huko mjin durban afrika kusini. Katika wasifu huo unaonesha eti msigwa kasoma degree ndani ya mwaka mmoja wa 2004 hadi 2004 na akawa kamaliza na kutunikiaa degree hiyo. Kwa navojua mimi degree duniani kote ni miaka 3 kuendelea ila ya huyu msigwa kaipata ndani ya mwaka mmja.Swali je wakianza kukagua vyeti feki kwa wabunge wabunge km hawa watapona kweli? N a huyu ndo anajiita mchungaji ana uchungaji gani na kuweka maekezo ya uwongo namna hii
Ame DANGANTA?
 
Msigwa kwanza akapimwe akili.
 
Inasemekana wabunge wengi wana vyeti feki siyo yeye tu. Kwanza hili swala la kikagua vyeti vyao watalipinga, subiri uone
 
Kupitia wasifu uliopo katika tovuti rasmi ya bunge , mbunge wa iringa mjini "Mchungaji" peter msigwa imebainika kua ni " kihiyo" au " kihiyo" kutokana na kuweka maelezo ya uwongo katika cv kua kasoma.degree katika chuo kimoja huko mjin durban afrika kusini. Katika wasifu huo unaonesha eti msigwa kasoma degree ndani ya mwaka mmoja wa 2004 hadi 2004 na akawa kamaliza na kutunikiaa degree hiyo. Kwa navojua mimi degree duniani kote ni miaka 3 kuendelea ila ya huyu msigwa kaipata ndani ya mwaka mmja.Swali je wakianza kukagua vyeti feki kwa wabunge wabunge km hawa watapona kweli? N a huyu ndo anajiita mchungaji ana uchungaji gani na kuweka maekezo ya uwongo namna hii
Tulia uandike taratibu na hiyo buku 7 zako utazipata tu,pitia tena kwenye bandiko lako inaonyesha unajiunga na kina jesca
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom