Kwa CV hii ya Msigwa! Je, ni eligible kuweza kusimamia maliasili na utalii??

Status
Not open for further replies.
Una maana gan mkuu? Maana huwa anasema AKILI NDOGO HAIWEZI KUONGOZA AKILI KUBWA
Ana kadigrii ka uchochoroni kanakompa mchecheto, na tumemwona kwenye TV ,thinking capacity ni ndogo sana-mithili ha F4F.
 
Kaka unataka matusi, ukipata ya huyo utaulizia ili ya mkubwa zaidi.
 
Kupitia wasifu uliopo katika tovuti rasmi ya bunge, mbunge wa Iringa mjini "Mchungaji" Peter Msigwa imebainika kua ameweka maelezo ya uwongo katika CV kua kasoma degree katika chuo kimoja huko mjini Durban Afrika kusini.

Katika wasifu huo unaonesha eti Msigwa kasoma degree ndani ya mwaka mmoja wa 2004 hadi 2004 na akawa kamaliza na kutunikia degree hiyo. Kwa navojua mimi degree duniani kote ni miaka 3 kuendelea ila ya huyu Msigwa kaipata ndani ya mwaka mmoja.

Swali je wakianza kukagua vyeti feki kwa wabunge wabunge kama hawa watapona kweli? Na huyu ndo anajiita mchungaji ana uchungaji gani na kuweka maekezo ya uwongo namna hii.
 
Wakikagua vyeti ukweli utajulikana, otherwise ni tuhuma tu.
 
Ame DANGANTA?
 
Msigwa kwanza akapimwe akili.
 
Inasemekana wabunge wengi wana vyeti feki siyo yeye tu. Kwanza hili swala la kikagua vyeti vyao watalipinga, subiri uone
 
Tulia uandike taratibu na hiyo buku 7 zako utazipata tu,pitia tena kwenye bandiko lako inaonyesha unajiunga na kina jesca
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…