Kwa CV hii ya Msigwa! Je, ni eligible kuweza kusimamia maliasili na utalii??

Status
Not open for further replies.

juha mamako hao magamba wenye hzo digre wana impact gan kwa taifa zaid ya kufuja na kuiba rasilimal zetu,kwa taarfa yako uongoz ni hekima na busara ikiwa ni pamja na uzalendo mbona wakat nch inapata uhuru kwenye tanu ni Nyerere pekee labda na wachache wengne ndio walikua na shule kdogo hayo mbona hujiulz unabak chadma chadma?mmekalia kut kavu subirin umbwa nie.
 

Mkuu huoni wanavoropoka na wasivyokuwa na adabu
 
Hivi hao wenye shahada wamelifanyia nini taifa? Mbona ndo mafisadi wakubwa wa rasilimali zetu? Ccm yote imejaa wapumbavu!

Kikwete ana shahada lakini hajui kwa nini nchi anayoiongoza ni maskini na bado akakacha mdahalo!!
 
Jamani kuna mtu anisaidie cv ya deo sanga aka jah people naskia ni mkali Sana pale magambani
 
Hao wa chama fulani wenye elimu wamefanya lipi? Kuna maprof kila wizara wanazopelekwa hamna kitu sasa tusemeje?
 
Kikwete ana shahada lakini hajui kwa nini nchi anayoiongoza ni maskini na bado akakacha mdahalo!!

Hiyo haimaanishi wengine wenye shahada hawajui kwanini nchi ni maskini, vilevile hiyo isitoe fursa kwa wasio na shahada kupewa mamlaka mazito.
 
Hao wa chama fulani wenye elimu wamefanya lipi? Kuna maprof kila wizara wanazopelekwa hamna kitu sasa tusemeje?

Mkuu, kwahiyo tuwasusie wenye elimu ama unataka kusemaje? kama unataka hawa wenye elimu ya o-level kukabidhiwa mamlaka ya kuongoza wizara sema!
 
asanteni... kwa kuendelea tufumbua macho......
 

Hivi hapa wenye Shahada na Diploma ni wangapi? Ni yupi Daktari au Profesa hapa?
Lakini hawahawa ndiyo waliomtetemesha Mkoloni mpaka akaamua kuwakabidhi nchi!!!Kuna majitu mapumbavu ya CCM yanafikiri kuwa na Elimu ya Chuo Kikuu ndiyo kujua kutawala! Nonsense. Kwa taarifa ni kwamba kuna WATU WANAZALIWA WAKIWA NA VIPAWA VYA UONGOZI HAIJALISHI WAMEKWENDA SHULE AU LA!!!
 

Mhe A-Z pole kwa kumaliza. Mch Msigwa amehenyea B.Ministry kwa miaka 5. Je unajua ni masomo gani na mpaka kiwango gani kuipata hiyo B.Ministry? Waziri siyo mtaalamu bali kiongozi. Anao wataalamu lukuki + personal advisers. Ni upeo wake wa kuongoza unmwezesha kumudu au kuvunda akiwa waziri.
 

Hao watu wenyewe vipawa vya kuongoza pasipo kwenda shule, Msigwa nae yupo? Utamfananisha Msigwa na Madiba? Utamfananisha Msigwa na Washington? kuwa serious wewe!!!
 
PETER MSIGWA:
EDUCATION
School Name/Location Course/Degree/Award Start Date End Date Level
All Africa Bible College, South Africa B.Ministry 1999 2004 GRADUATE
Sangu Secondary School O-Level Education 1983 1986 SECONDARY
Magoye Primary School Primary Education 1976 1982 PRIMARY


1. Graduate in B. Ministry. Nisaidieni hiyo ni kozi gani au ndo ile aliyosema bungeni kuwa alisomea kuombea Wazinzi? kama jibu ni ndiyo kwa nini CHADEMA waliamua kumuchukua, kwa sababu CHAMA kina wazinzi sana au?


2. Miaka 13 bada ya kumaliza kidato cha nne ndo akaenda kusoma hiyo B.Ministry, inawezekana kweli mtu akamaliza kidato cha nne halafu akaenda kusomea shahada tena baada ya kukaa muda mrefu nyumbani?


3. Kweli nimeamini maneno ya huyu jamaa kuwa akili NDOGO inaongoza akili KUBWA. hivi mtu kama huyu anawezaje kuongoza watu wenye akili kubwa? ina maana mkoa wa iringa hauna watu au imekuwa hivyo ili maneno yake yatimie?
 
Na yule maji marefu lini utaomba kufahamishwa kuhusu Elimu yake?
 

Unakaa NYAGWA..!????
 
Weka ya komba na mjumbe wa nec khadja kopa. Kenya hawana A-level kwani hakuna degree kule? Kikwete mweny gentleman sasa ni dr. hushangai?
 
Mambo kama haya yanakidhalilisha CCM, wewe ni mpuuzi mkubwa sana kwani wenye chama wanazunguka kueneza sera za chama lakini wewe una post ujinga ukidhani unawananga CHADEMA kumbe unawafanya watu wakione CCM kama chama cha kinachopoteza maadili kwa kasi.Shame on you!
 
Kuwa na degree kadhaa siyo uongozi.wangapi tunawaona wana veti mpaka mpaka vinajaa mkoba halafu hatuoni cha maana kwenye uongozi. Kwa pastor kajitambua na kuona hizo degree zao ni za kufaulu tu mitihani lakini in real life ni weupe
 
Wale wana chadema kindakindaki naomba mbisaidie CV ya huyu mbunge machachari mch.Peter Simon Msigwa
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…