Mie simjui alicomment hapa kidogo nikaona isiwe shida nikaenda pm kuongea naye akadai picha nikaogopa kumpa humu kidogo nikamshauri namba ya wtsupp ila sijampa picha akawa haongei namimi nikaanz akuugua nilipoona hali sio nzuri nikawa naokba nakushirikisha watu wanisaidie kimaombi ndio mida ya jana akanitext kuwa nabahati angenitoa kafara niliogopa sana napia kweli nikaona namavitu yake kweli yalikuwa home naada yakufuta mawasiliano naye nikapona nikapata nafuuHakika mtoa uzi ameweka hoja ngumu inayohitaji tuisadiki.
Unique Flower tuwekee usuli nini kimejiri hadi kufikia ung'amuzi kuwa wanataka kukugeuza mbuzi wa dawa
Hata mimi....JAna nimetoa post kuwa naumwa ila sikuwa naumwa nilikuwa natolewa kafara na mtu niliyempata humu.
Ila kitu ambacho hajui nipo ndani ya bwana yesu na hakuna kitu au mtu wakutoa hii roho maana kifo yesu alishakufa msalabani ni yeye tu ndio anauwezo na umiliki wa hii roho.
Sina haja yakukutaja ila ujue hilo kwa Yesu ndio kila kitu kwangu .
nipo serious sana sio utani na namba yako nimeifuta na sina shida na walio kubaliana na shetani kunimaliza mmeanza kwenye emails mkaja directly .
Hii damu na roho ni ya bwana yesu.
Wahi hospitali ya vichaa mirembe haraka iwezelanavyoJAna nimetoa post kuwa naumwa ila sikuwa naumwa nilikuwa natolewa kafara na mtu niliyempata humu.
Ila kitu ambacho hajui nipo ndani ya bwana yesu na hakuna kitu au mtu wakutoa hii roho maana kifo yesu alishakufa msalabani ni yeye tu ndio anauwezo na umiliki wa hii roho.
Sina haja yakukutaja ila ujue hilo kwa Yesu ndio kila kitu kwangu .
nipo serious sana sio utani na namba yako nimeifuta na sina shida na walio kubaliana na shetani kunimaliza mmeanza kwenye emails mkaja directly .
Hii damu na roho ni ya bwana yesu.
Haiandikwi yesu inaandikwa Yesu.Huna mamlaka na mimi kwa jina la yesu nakukemea kwa damu yayesu huna mamlaka na mimi
Angalia pm sikudanganyiUmenikumbusha kipindi nikiwa mdogo, nilifundishwa nisiposali usiku, majini na wachawi watanijia.
Nilikua nateseka sana, nilikua naogopa giza, kila muda nawaza kuna jini amenijia, nilikua naona vitu vya ajabu usiku, nikisikia kelele za ajabu nje mfano paka, silali.
Nataka kusema nini? Dini Ina dhana mbaya ya kutumia hofu ili kuwashikilia watu. Inafanya tuishi kwa woga sana.
Ukiumwa nenda hospitali kwanza ukajue kiini cha tatizo hayo mengine yatafuata baadae.
Hivi kile kipindi cha safari ya mshindi radio safina bado kipo? Nimevuta picha wewe unaweza kuwa mtu unaekifuatilia sana....
MmmmhMie simjui alicomment hapa kidogo nikaona isiwe shida nikaenda pm kuongea naye akadai picha nikaogopa kumpa humu kidogo nikamshauri namba ya wtsupp ila sijampa picha akawa haongei namimi nikaanz akuugua nilipoona hali sio nzuri nikawa naokba nakushirikisha watu wanisaidie kimaombi ndio mida ya jana akanitext kuwa nabahati angenitoa kafara niliogopa sana napia kweli nikaona namavitu yake kweli yalikuwa home naada yakufuta mawasiliano naye nikapona nikapata nafuu
Siwezi kuamini hebu ni pm nione nikuombeeAngalia pm sikudanganyi
Ukifungua pm nakutumiaSiwezi kuamini hebu ni pm nione nikuombee
Iko waziUkifungua pm nakutumia
this is the whole point of religion.. controlling peopleNataka kusema nini? Dini Ina dhana mbaya ya kutumia hofu ili kuwashikilia watu. Inafanya tuishi kwa woga sana.
Heb nionyeshe na mimiAngalia pm sikudanganyi
Sasa ataonaje?...kama sio bange ni nini hiki Mungu wangu.πAngalia pm sikudanganyi
IgnoreIko wazi
Huyu mtu anaishi kwa hofu sana.Hata mimi....
Baada ya kuokoka nashangaa ile hali ya kuchokachoka imekwisha halafu hela hata kama ni ndogo inakaa...
Halafu wewe isije kuwa lile Jani una vuta...manake unanipa wasiwasi kwa kauli zakoπ
UNanichora tena eh nyie ndio wale waleHuyu mtu anaishi kwa hofu sana.
Kila post ni malalamiko fc.
Ukute kuna mwamba naye anadai ana demu kama huyu, huruma sana