Kwa Dar hii ni kituko ila kwa Arusha hii ni zaidi ya fashion

Kuna kitu nikiweke sawa ili waporipori kama ulivyo ww mkielewe, sio kwamba machalii wa chuga hawajui kuvaa casual kama unavyodhani..... lifute hilo kichwani, kitu people za chuga wanajaribu fanya ni kutafuta identify yao kama wao ndio maana wanadivert toka kuvaa casual as we all used to nakua na something unique.... ili kuweka kumbukumbu sawa ni hivi mikoa ya kaskazini ni miongoni mwa mikoa iliyobahatika kupata elimu siku nyingi sana enzi za wakoloni so usiwaze kua hao wapo hivyo labda ni uncivilized hapana....... hope umenisoma.


Alafu ni chuo gani hicho unakiongelea usikute ni ndanindani huko SAJUKO sijui iko Songea alafu unakuja kujitapa hapa!!!!!
 
Bora umekuja mwakilishi wao........Nimetembea mikoa mingi ya baridi (Mbeya,Iringa,Rukwa..etc) na sio washamba kama hao jamaa.....Na nimesoma chuo ambacho kina machilii wengi hapa mjini (tafuta mwenyewe utakijua)....eti identity yao......mshamba mshamba tu....na mi kama mpori pori ndo niko hivyo............unaweza ukapata elimu lakini usiwe na maarifa......Mfn: Profesa wako..........sasa kwani ni civilized hao?.........Huwa nawachora tu........basi nasikitikia itikadi zao za kishamba..........
Na najua mlikuwa mnajaribu kukopi watu fulani wa western...........
 
Dar, Mwanza wanaiga swaga za Marekani na ulaya Arusha kitu Unique Huwezi kukipata sehemu nyingine popote pale!
Acha kuongopea watu au otherwise kaongopee watoto wenzio..

Hiyo style ya uvaaji imeigwa huko huko Marekani(ilikuwa style early 90's mpaka late 90's) na si vinginevyo ila tu machalii wa Arusha hawajataka kuiacha.

Refer old school rap videos za watu kama Wu Tang,Onyx,Mobb Deep,Naught By Nature,Lost Boys,Das EFX nk utaona.

 
Point yako sanasana ni ipi we nguchiro? Machalii kuvaa hivyo kuna ubaya? Hapohapo unasema ni washamba tena unarudia kusema kuna nchi wamecopy.... ...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…