Kwa Dar hii ni kituko ila kwa Arusha hii ni zaidi ya fashion

Ni ngumu kuacha Aisee




[emoji817]
 
Napenda sana kuwaona wamevaa zle kofia za mtumba kama za maafsa jeshi znazokaa kpemben kama inataka kudondoka
 

Free spirited... you gotta love 'em kwa kweli. Sioni kwanini watu wengine hapa wanatoa mapovu kisa tu nguo za hawa vijana...eti makoti ni oversize, sijui eti skintight...yeye mwenyewe ana-feel comfy, sasa wewe unayemuangalia ni maumivu gani haswa unayoyapata? ni ya mwili au ya roho?
Tena vijana wenyewe basi wako kwenye graduation party, meaning kwamba wamehudhuria mafunzo/chuo na wamekaa huko mpaka mafunzo yakamalizika na sasa wametunikiwa hati za kumaliza mafunzo...

Acheni hizo bana, mapovu yetu yaelekezwe kwenye maumivu kama ya IPTL, Escrow, ukosefu wa madawa, mbio za mwenge et al.,
 
salute sana machalii wa chuga,wapo tofauti sana na wauza sura wa miji mingine,kwao midosho na ujingajinga mwingine nooop
Hiyo cio akili ya .wanadmu wa kawaida hio ni bange,viroba gozo,mirungi,ugolo hakuna akili nzuri hapo ndo mana kule rombo yanakunywa sana gongo,mi sinmekaa nao sana mpaka nami nkaa natumia gpngo na bangi ,yani arusha zito kabisa miaka ishirin mbele arusha haitakuwa na watu wenye akili timamu kama kina lema n.k vijana wanaharibika hlf nyie ndo mnaona siifa wakifnya akil za bangi ngoja mpigwe gepu na mikoa mingine ynye watu weny kujitambua
 
Acha mambo za kikuzi, hivyo walivyovaa kuna shida gani? Hayo makoti ni ili kuzuia baridi kwani chuga ni kama Russia hilo baridi lake.....

Weka swaga za kwenu ambako sio pa hovyohovyo!!!!
Acha kutryea akili za bangi hiyo migwagulo yote hiyo akil kwel ya kawaida,bangi ,gongo chimpumu chsng'aa ziko kichwn zed dollars
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] arusha raha sana
 
Huwezi kutetea upuuzi kisa unafanyika kijijini kwenu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…