Kwa Dar hii ni kituko ila kwa Arusha hii ni zaidi ya fashion

Machalii siku hiz wanapiga miparo hizo zimeanza kupungua,
 
Kuvaaa tait ndo ujanjanja sio
 

umesoma IFM?
 
Pamoja na mikoa ya kaskazini kuwa mikoa iliopata elimu siku nyingi, haina maana kama kila mtu kaelimika na kuwa civilized. Anyway kama hao ndio vijana walioelimika na kuwa civilized huko i wonder ambao hawakubahatika wakoje!
Hao ni wahuni.hata dar wapo wenye tabia za ajabu na wastaarabu pia wapo.
 
I can see a lot of hate: Let people be themselves ... kutofanana ama kuwa european brain washed kama wewe hakuwafanyi wengine wasifurahie maisha yao.

Tatizo la waswahili wengi wanaendekeza sana kuvaa wakati viwango vyao vya maisha bado ni duni sana tofauti sana na watanzania wengine wasio wa asili yetu na bado tunawatukuza. Watu waarusha nawakubali sana coz hawana ''shobo'' na hawapo fake

This is just a mental slavery
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kwa kweli Machalii wanaonekana wamewekeza sana kwenye elimu wanatekeleza kauli mbiu kwa vitendo

Elimu elimu elimu



[emoji817]

...na ndio maana wana confidence na guts za kuonyesha individuality... ni ile ile issue inayosemwaga ya kujitambua... sio kila siku tuuuu mambo ya "zidumu fikra" sijui za nani...
 
...na ndio maana wana confidence na guts za kuonyesha individuality... ni ile ile issue inayosemwaga ya kujitambua... sio kila siku tuuuu mambo ya "zidumu fikra" sijui za nani...
Mara nyingi bangi na pombe zinaleta sana confidence no wonder mmoja hapo kashikilia chupa ya konyagi.
 
Noma sana.. mfukoni kichupa cha Konyagi ndogo mguuni buti kumbwa ka la Sam Magwana..full kudunda ka umetokea Mbuguni za kutosha
 
Wamekua kama kituko.Aisee hayo mavazi na wavae huko huko tu
 
Kuna mahali nimeandika pombe ni taboo? Nimeandika inaongeza confidence.

Ulimaanisha nini ulipomlaumu kwamba ameshikilia chupa ya konyagi? uliposema "no wonder kashikilia chupa ya konyagi"

-Mimi nimesema "elimu" inawapa confidence kwa sababu facts kutoka kwenye post na kwenye picha yenyewe, zinaonyesha kwamba kijana ame-graduate, na wenzake wanasherehekea graduation, i.e. wanasherehekea kuhitimu mafunzo/chuo, kwa maana hiyo wamepata "elimu" na ndio maana nika-argue kwamba "elimu" imewasaidia kuongeza confidence na guts
-Haya wewe unasema bangi ndio inewapa confidence ya kuvaa hizo nguo, unao ushahidi unaoonyesha kwamba walivuta bangi ndio wakavaa hizo nguo?
-Una ushahidi gani kwamba hiyo chupa aliyoishika ndio imemfanya akavaa hizo nguo? au hata ushahidi kwamba alikunywa hiyo konyagi kabla hajavaa hizo nguo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…