Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahahahahahahaaaaaaaa kwahio arusha ni zaidi ya marekani
Kuvaaa tait ndo ujanjanja sioKuna kitu nikiweke sawa ili waporipori kama ulivyo ww mkielewe, sio kwamba machalii wa chuga hawajui kuvaa casual kama unavyodhani..... lifute hilo kichwani, kitu people za chuga wanajaribu fanya ni kutafuta identify yao kama wao ndio maana wanadivert toka kuvaa casual as we all used to nakua na something unique.... ili kuweka kumbukumbu sawa ni hivi mikoa ya kaskazini ni miongoni mwa mikoa iliyobahatika kupata elimu siku nyingi sana enzi za wakoloni so usiwaze kua hao wapo hivyo labda ni uncivilized hapana....... hope umenisoma.
Alafu ni chuo gani hicho unakiongelea usikute ni ndanindani huko SAJUKO sijui iko Songea alafu unakuja kujitapa hapa!!!!!
Huwa wanakuwa hivi wakiwa kwao......wakishaingia mjini...wanagundua kuwa ulikuwa ni ushamba kupitiliza...............
Ba.nge hatareeeee............
Niliwaona wengi wakija first year na hizi swaga(tena wanatembea kimakundi makundi...kama nyumbu)....baadaye wanajuta na kubadili mazingira....na ushamba wenu huko huko.......
Hao ni wahuni.hata dar wapo wenye tabia za ajabu na wastaarabu pia wapo.Pamoja na mikoa ya kaskazini kuwa mikoa iliopata elimu siku nyingi, haina maana kama kila mtu kaelimika na kuwa civilized. Anyway kama hao ndio vijana walioelimika na kuwa civilized huko i wonder ambao hawakubahatika wakoje!
Sawa kabisa. Sasa wengine humu kwasababu wahuni hawa ni wa Arusha wanatetea.Hao ni wahuni.hata dar wapo wenye tabia za ajabu na wastaarabu pia wapo.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kwa kweli Machalii wanaonekana wamewekeza sana kwenye elimu wanatekeleza kauli mbiu kwa vitendo
Elimu elimu elimu
[emoji817]
Mara nyingi bangi na pombe zinaleta sana confidence no wonder mmoja hapo kashikilia chupa ya konyagi....na ndio maana wana confidence na guts za kuonyesha individuality... ni ile ile issue inayosemwaga ya kujitambua... sio kila siku tuuuu mambo ya "zidumu fikra" sijui za nani...
Mara nyingi bangi na pombe zinaleta sana confidence no wonder mmoja hapo kashikilia chupa ya konyagi.
Kuna mahali nimeandika pombe ni taboo? Nimeandika inaongeza confidence....wako kwenye celebration... Au pombe ni taboo kwenye party?
Kuna mahali nimeandika pombe ni taboo? Nimeandika inaongeza confidence.