GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Naona unawaza takataka! Unaamini kuwa Isarel ni sifa nzuri au nini? Rwanda ni nchi ya kishenzi tu! Au kupokea wakimbizi wa Ulaya unaona ni sifa ya kupendwa?Nasikia kuna Rafiki yao Mwingine 'Taifa Nafiki Nafiki' la Afrika Mashariki nao Kisirisiri watakuwa Wanawasaidia Congo DR na Burundi katika Kuipiga Israel ya Afrika ( Rwanda ) ya Military and Intelligence Genius Rais Paul Kagame hivyo GENTAMYCINE nachukua nafasi hii Kuwaonya kwani hawatoamini kwa kile ambacho kitaenda Kuwapata.
Adhabu ni kunyongwa hadi kufaPopoma@ unafanya uhaini kujionesha uko against nchi inayokutunza na kukupa sehemu ya kumwaga kinyesi chako. Nadhani unajua malipo ya kujionesha waziwazi wewe ni msaliti wa nchi na kibaraka wa nchi nyingine
ISRAEL ya AFRIKA au WEZI wa MADINI?????,,,,,,waniba dhahabu alaf wanajenga KIGALI!!!!...kamuulizeni IDDI AMIN,COMORO na M23Nasikia kuna Rafiki yao Mwingine 'Taifa Nafiki Nafiki' la Afrika Mashariki nao Kisirisiri watakuwa Wanawasaidia Congo DR na Burundi katika Kuipiga Israel ya Afrika ( Rwanda ) ya Military and Intelligence Genius Rais Paul Kagame hivyo GENTAMYCINE nachukua nafasi hii Kuwaonya kwani hawatoamini kwa kile ambacho kitaenda Kuwapata.
Rwanda ipo overrated sana.Nasikia kuna Rafiki yao Mwingine 'Taifa Nafiki Nafiki' la Afrika Mashariki nao Kisirisiri watakuwa Wanawasaidia Congo DR na Burundi katika Kuipiga Israel ya Afrika ( Rwanda ) ya Military and Intelligence Genius Rais Paul Kagame hivyo GENTAMYCINE nachukua nafasi hii Kuwaonya kwani hawatoamini kwa kile ambacho kitaenda Kuwapata.
Kagame ni mrithi wa uzima wa milele? Maana anawaua tu ndugu,e, utadhani yeye hatokufaNasikia kuna Rafiki yao Mwingine 'Taifa Nafiki Nafiki' la Afrika Mashariki nao Kisirisiri watakuwa Wanawasaidia Congo DR na Burundi katika Kuipiga Israel ya Afrika ( Rwanda ) ya Military and Intelligence Genius Rais Paul Kagame hivyo GENTAMYCINE nachukua nafasi hii Kuwaonya kwani hawatoamini kwa kile ambacho kitaenda Kuwapata.
Rubbish and Nonsensical.Baada ya kusikiliza dw idhaa ya kiswahili kutoka mjini boni,ujerumani na mtangazaji salma mwadhaya ndo umeona uje utuletee utumbo uliooza humu ndani?
Ni vile tu kongo na burundi hawana msimamo,mbona kwa kikwete alifyata mkia? Au kipindi kile ilikuwa syo israel ya Afrika?
Cha muhim ujumbe umefika. Maisha yanaendeshwa na mifumo ndyo maana kuna mwisho wa kila kitu hapa duniani,kwa sasa pk yupo kwenye mfumo dhidi waoga akina tshisekedi na ndayishimiye lakini mfumo ukimkataa wewe mwenyewe utashangaa.Rubbish and Nonsensical.
Rwanda iko ovarated na wame fanikiwa kupata mazombie kama nyieNaona watu wengi mnamshambulia mleta mada, ukweli ni kwamba Paul Kagame na Timu zake (Majeshi) wako vizuri ktk masuala ya vita na ujasusi. Endapo kama kweli hao majirani zake wanapanga au wanataka kuanzisha vita dhidi yake, basi wanatakiwa Wajipange sawasawa kabla ya kuanzisha mtiti dhidi ya Paul Kagame. La sivyo wanaweza wakajikuta wapo matatani sana huku Kagame akiendelea kuneemeka kutokana na uchokozi wa majirani zake.
Kumbuka: Kushinda vita kunachangiwa na sababu nyingi, ikiwamo na Intelijensia kali, ari ya wapiganaji, ubora wa zana/silaha za vita, etc. In short Majeshi ya Bw. Paul Kagame yana Intelijensia kali sana, pia wako vizuri ktk suala zima la Manpower & Logistics ukilinganisha na hao wapinzani wake. Wingi wa Wapiganaji au wingi wa silaha siyo vigezo vizuri sana vya kuweza kushinda vita katika dunia hii ya leo ya Sayansi na Teknolojia ya hali ya juu, hoja ya msingi ni Ubora walionao hao wapiganaji, ubora wa silaha wa silaha za kupigania vita, ari au morali ya wapiganaji pamoja na suala zima la Logistics. Kwa hiyo msiidharau Rwanda licha ya udogo wake wa eneo la kijiografia iliyo nayo, "Ukubwa wa Pua siyo wingi wa kamasi."
Rwanda si lolote si chochote.Nasikia kuna Rafiki yao Mwingine 'Taifa Nafiki Nafiki' la Afrika Mashariki nao Kisirisiri watakuwa Wanawasaidia Congo DR na Burundi katika Kuipiga Israel ya Afrika ( Rwanda ) ya Military and Intelligence Genius Rais Paul Kagame hivyo GENTAMYCINE nachukua nafasi hii Kuwaonya kwani hawatoamini kwa kile ambacho kitaenda Kuwapata.