inamankusweke
JF-Expert Member
- Apr 24, 2014
- 20,344
- 21,967
Taja nchi gani!?Looh, maskini!
Ngoja nikuache kama ulivyo ili uendelee kupiga porojo zako za Siasa za uchawa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Taja nchi gani!?Looh, maskini!
Ngoja nikuache kama ulivyo ili uendelee kupiga porojo zako za Siasa za uchawa.
Israel? Nani alikuambia wa Israel wanakata visimi vya wanawake? Au kuvivuta na kuwa na urefu wa sm 10?Nasikia kuna Rafiki yao Mwingine 'Taifa Nafiki Nafiki' la Afrika Mashariki nao Kisirisiri watakuwa Wanawasaidia Congo DR na Burundi katika Kuipiga Israel ya Afrika ( Rwanda ) ya Military and Intelligence Genius Rais Paul Kagame hivyo GENTAMYCINE nachukua nafasi hii Kuwaonya kwani hawatoamini kwa kile ambacho kitaenda Kuwapata.
Israel ni nchi ndogo sana kwa ukubwa wa eneo la kijiografia, na imezungukwa pande zote na nchi maadui wakubwa ambao ni majirani zake. Licha ya udogo wake wa eneo, Israel imewahi kupigana vita na kuwashinda karibia majirani zake wote wanaomzunguka. Na mpaka leo, majirani zake karibia wote hawataki tena kujiingiza kwenye ugomvi wa vita vya muda mrefu ilivyopo kati ya Israel na Gaza kwa kuogopa kipigo kutoka kwa Israel.Rwanda ipo tu kama 8832 kj ni sawa na kikosi kimoja tu. Mengine awasumbue wahutu wenzie na kuwaua lkn hata Kenya inamtapisha kinyesi
Labda kwa nchi zenye vurugu kama Drc lkn akiivamia hata Comoro wanamchoma figo fasta
Niliposema 8832 kj ulielewa?Israel ni nchi ndogo sana kwa ukubwa wa eneo la kijiografia, na imezungukwa pande zote na nchi maadui wakibwa ambao ni makirani zake. Licha ya udogo wake wa eneo, Israel imewahi kupigana vita na kuwashinda karibia majirani zake wote wanaomzunguka. Na mpaka leo, majirani zake karibu wote hawataki tena kujiingiza kwenye ugomvi wa vita vya muda mrefu vilivyopo kati ya Israel na Gaza kwa kuogopa kipigo kutoka kwa Israel.
Ukubwa wa pua siyo wingi wa kamasi.
Majirani wa waisrael ni watu dhaifu, kiufupi Israel hajawai pata mpinzani anaejiweza toka alipo tangaza nchi ile 1948 , ni kama sasa tu anapewa silaha za kisasa anapambana na wana mgambo ambao hawana hata air defense unategema nini hapo?Israel ni nchi ndogo sana kwa ukubwa wa eneo la kijiografia, na imezungukwa pande zote na nchi maadui wakubwa ambao ni majirani zake. Licha ya udogo wake wa eneo, Israel imewahi kupigana vita na kuwashinda karibia majirani zake wote wanaomzunguka. Na mpaka leo, majirani zake karibia wote hawataki tena kujiingiza kwenye ugomvi wa vita vya muda mrefu ilivyopo kati ya Israel na Gaza kwa kuogopa kipigo kutoka kwa Israel.
Ukubwa wa pua siyo wingi wa kamasi.
Nimekuelewa ndiyo.Niliposema 8832 kj ulielewa?
Majirani wa Israel ni dhaifu???????Majirani wa waisrael ni watu dhaifu, kiufupi Israel hajawai pata mpinzani anaejiweza toka alipo tangaza nchi ile 1948 , ni kama sasa tu anapewa silaha za kisasa anapambana na wana mgambo ambao hawana hata air defense unategema nini hapo?
Hukuelewa. 8832 kj nilimaanisha nini? Ili twende sawaNimekuelewa ndiyo.
Kumbuka: Vita vya siku hizi vinapiganwa kisayansi zaidi, unaweza ukawa na Wanajeshi wapiganaji wapatao 20,000 lakini unaweza ukapigwa na Jeshi pinzani lenye wanajeshi wapatao 400 tu, hao wanajeshi 400 pekee wanaweza wakashinda vita dhidi ya jeshi pinzani lenye idadi ya wapiganaji 20,000. Hii inawezekana kabisa kutokea kwa vita vya kisasa vya zama hizi
Kabisa kabisa ni dhaifu sana teknolojia za kivita , sasa watashinda vip wakati mwenzao Israel anapewa latest teknoloji kutoka USMajirani wa Israel ni dhaifu???????
Are you serious????
Rais kama Magufuli angetokea congo ...bwamdogo kagame angepata tabu sana...ashukuru congo inapata marais waovyo .Pk atafute amani na majirani, ugomvi hauna faida
Tatizo la Zaire (Congo DRC) siyo Rais, bali Congo DRC kuna tatizo kubwa la tangu miaka mingi la kuwepo kwa OMBWE LA UONGOZI na Kukosekana kwa Utangamano wa Kitaifa kunakosababishwa na Dhulma mbaya za kiutawala. Tatizo ambalo lipo karibia kwenye nchi zote za ki-Afrika, isipokuwa Congo DRC tatizo hili ni kubwa zaidi.Rais kama Magufuli angetokea congo ...bwamdogo kakame angepata tabu sana...ashukuru kungo inapata marais waovyo .
Paul Kagame anget wa CIA, mtoto mpendwa wa Marekani.Naona watu wengi mnamshambulia mleta mada, ukweli ni kwamba Paul Kagame na Timu zake (Majeshi) wako vizuri ktk masuala ya vita na ujasusi. Endapo kama kweli hao majirani zake wanapanga au wanataka kuanzisha vita dhidi yake, basi wanatakiwa Wajipange sawasawa kabla ya kuanzisha mtiti dhidi ya Paul Kagame. La sivyo wanaweza wakajikuta wapo matatani sana huku Kagame akiendelea kuneemeka kutokana na uchokozi wa majirani zake.
Kumbuka: Kushinda vita kunachangiwa na sababu nyingi, ikiwamo na Intelijensia kali, ari ya wapiganaji, ubora wa zana/silaha za vita, etc. In short Majeshi ya Bw. Paul Kagame yana Intelijensia kali sana, pia wako vizuri ktk suala zima la Manpower & Logistics ukilinganisha na hao wapinzani wake. Wingi wa Wapiganaji au wingi wa silaha siyo vigezo vizuri sana vya kuweza kushinda vita katika dunia hii ya leo ya Sayansi na Teknolojia ya hali ya juu, hoja ya msingi ni Ubora walionao hao wapiganaji, ubora wa silaha wa silaha za kupigania vita, ari au morali ya wapiganaji pamoja na suala zima la Logistics. Kwa hiyo msiidharau Rwanda licha ya udogo wake wa eneo la kijiografia iliyo nayo, "Ukubwa wa Pua siyo wingi wa kamasi."
Naona watu wengi mnamshambulia mleta mada, ukweli ni kwamba Paul Kagame na Timu zake (Majeshi) wako vizuri ktk masuala ya vita na ujasusi. Endapo kama kweli hao majirani zake wanapanga au wanataka kuanzisha vita dhidi yake, basi wanatakiwa Wajipange sawasawa kabla ya kuanzisha mtiti dhidi ya Paul Kagame. La sivyo wanaweza wakajikuta wapo matatani sana huku Kagame akiendelea kuneemeka kutokana na uchokozi wa majirani zake.
Kumbuka: Kushinda vita kunachangiwa na sababu nyingi, ikiwamo na Intelijensia kali, ari ya wapiganaji, ubora wa zana/silaha za vita, etc. In short Majeshi ya Bw. Paul Kagame yana Intelijensia kali sana, pia wako vizuri ktk suala zima la Manpower & Logistics ukilinganisha na hao wapinzani wake. Wingi wa Wapiganaji au wingi wa silaha siyo vigezo vizuri sana vya kuweza kushinda vita katika dunia hii ya leo ya Sayansi na Teknolojia ya hali ya juu, hoja ya msingi ni Ubora walionao hao wapiganaji, ubora wa silaha wa silaha za kupigania vita, ari au morali ya wapiganaji pamoja na suala zima la Logistics. Kwa hiyo msiidharau Rwanda licha ya udogo wake wa eneo la kijiografia iliyo nayo, "Ukubwa wa Pua siyo wingi wa kamasi."
Hata pale nikiwa Ninakubandua au?Popoma GENTAMYCINE unawazaga upumbavu sana.
Wenye Akili Kubwa kama Wewe hapa JamiiForums na wale ambao huwa Wananielewa vyema kabisa GENTAMYCINE kwa Mitazamo yangu ya Kina na ya Kimantiki huwa hampo Wengi.Israel ni nchi ndogo sana kwa ukubwa wa eneo la kijiografia, na imezungukwa pande zote na nchi maadui wakubwa ambao ni majirani zake. Licha ya udogo wake wa eneo, Israel imewahi kupigana vita na kuwashinda karibia majirani zake wote wanaomzunguka. Na mpaka leo, majirani zake karibia wote hawataki tena kujiingiza kwenye ugomvi wa vita vya muda mrefu ilivyopo kati ya Israel na Gaza kwa kuogopa kipigo kutoka kwa Israel.
Ukubwa wa pua siyo wingi wa kamasi.