Kwa Dhamira yao Ovu ya kutaka Kuivamia Israel ya Afrika (Rwanda) naona Tshisekedi na Ndayishimiye wamechoka Kuishi

Kwa Dhamira yao Ovu ya kutaka Kuivamia Israel ya Afrika (Rwanda) naona Tshisekedi na Ndayishimiye wamechoka Kuishi

Israel ni nchi ndogo sana kwa ukubwa wa eneo la kijiografia, na imezungukwa pande zote na nchi maadui wakubwa ambao ni majirani zake. Licha ya udogo wake wa eneo, Israel imewahi kupigana vita na kuwashinda karibia majirani zake wote wanaomzunguka. Na mpaka leo, majirani zake karibia wote hawataki tena kujiingiza kwenye ugomvi wa vita vya muda mrefu ilivyopo kati ya Israel na Gaza kwa kuogopa kipigo kutoka kwa Israel.
Ukubwa wa pua siyo wingi wa kamasi.
Hao RDF wakishirikiana na waasi wa Burundi walitaka kumpindua Nkurunzinza2015, JWTZ ikapeleka makomandoo wakatembeza kichapo kwa hao wanyarwanda na kumrejesha Nkurunzinza madarakani. JWTZ Ni habari nyingine mkuu don't mess with them, ndiyo maana hata hao Rwanda wanaleta vijana wao kupata training za kijeshi kwenye military academy zetu. Au huwa hufuatilii hata taarifa wakati Rais akihitimisha mafunzo ya maafisa Cadet na akitoa kamisheni za kijeshi utasikia, wahitimu kadhaa kutokea Rwanda, Zimbabwe, Uganda, Kenya na Egypt?
 
Nimekuelewa ndiyo.
Kumbuka: Vita vya siku hizi vinapiganwa kisayansi zaidi, unaweza ukawa na Wanajeshi wapiganaji wapatao 20,000 lakini unaweza ukapigwa na Jeshi pinzani lenye wanajeshi wapatao 400 tu, hao wanajeshi 400 pekee wanaweza wakashinda vita dhidi ya jeshi pinzani lenye idadi ya wapiganaji 20,000. Hii inawezekana kabisa kutokea kwa vita vya kisasa vya zama hizi
Taja zana kali walizonazo RDF mpaka wawe tishio kwa JWTZ.
 
Wenye Akili Kubwa kama Wewe hapa JamiiForums na wale ambao huwa Wananielewa vyema kabisa GENTAMYCINE kwa Mitazamo yangu ya Kina na ya Kimantiki huwa hampo Wengi.

Asante kwa hii Elimu yako Kubwa kwa Wapumbavu wengi Waliochangia huu Uzi kwa Mihemko na Kukurupuka.

Na kwa Kujiamini kabisa nikiwa na sababu zangu za Ndani nasema kuwa Tanzania haina uwezo wa Kuipiga / Kupambana Kivita na hata Kijasusi na Rwanda kwani itapigwa Asubuhi na mapema
.

Wacha waendelee tu Kunidharau Mkuu.
Tutawatwanga Kama tulivyo watwanga kipindi Kile mlicho kuwa mnapigana kupitia proxy wenu M23. Na hata pale mliposhiriki kumpindua Nkurunzinza tuliwapiga na kumrejesha madarakani.
 
Israel ni nchi ndogo sana kwa ukubwa wa eneo la kijiografia, na imezungukwa pande zote na nchi maadui wakubwa ambao ni majirani zake. Licha ya udogo wake wa eneo, Israel imewahi kupigana vita na kuwashinda karibia majirani zake wote wanaomzunguka. Na mpaka leo, majirani zake karibia wote hawataki tena kujiingiza kwenye ugomvi wa vita vya muda mrefu ilivyopo kati ya Israel na Gaza kwa kuogopa kipigo kutoka kwa Israel.
Ukubwa wa pua siyo wingi wa kamasi.

Kwa akili yako hivyo vita vinapiganwa na izirael pekee. Hujui kuna invisible hand behind izirael ndiyo inayoratibu na kupigana vita hivyo.
 
Tatizo la Zaire (Congo DRC) siyo Rais, bali Congo DRC kuna tatizo kubwa la tangu miaka mingi la kuwepo kwa OMBWE LA UONGOZI na Kukosekana kwa Utangamano wa Kitaifa kunakosababishwa na Dhulma mbaya za kiutawala. Tatizo ambalo lipo karibia kwenye nchi zote za ki-Afrika, isipokuwa Congo DRC tatizo hili ni kubwa zaidi.
Sasa hapo ndiyo umeongea nini ? Rais kama magufuli ndiyo jibu kwa hayo uliyo ongea anajua kuunganisha taifa kwa uchapakazi wake na uzalendo wake ...kinacho sababisha utengano congo ni ubinafsi wa viongozi kukosa uzalendo....pia sijui kama unajua kuwa chanzo cha taifa kukosa utengamano ni uongozi ambao ndani yake unakuwa na ufisadi rushwa ubinafsi na kukosa uzalendo....kitu kingine ni viongozi kushindwa kumeneji rasilimali kama madini hayo yote JPM aliyamudu kikamilifu.
 
Hao RDF anishirikuana na waasi wa Burundi walitaka kumpindua Nkurunzinza2015, JWTZ ikapeleka makomandoo wakatembeza kichapo kwa hao wanyarwanda na kumrejesha Nkurunzinza madarakani. JWTZ Ni habari nyingine mkuu don't mess with them, ndiyo maana hata hao Rwanda wanaleta vijana wao kupata training za kijeshi kwenye military academy zetu. Au huwa hufuatilii hata taarifa wakati Rais akihitimisha mafunzo ya maafisa Cadet na akitoa kamisheni za kijeshi utasikia, wahitimu kadhaa kutokea Rwanda, Zimbabwe, Uganda, Kenya na Egypt?
Another Fool.
 
Congo ni nchi kubwa ya hovyo sana upande wa mashariki waasi wanaichezea watakavyo. Mshenzi yeyote asijaribu kuichezea mipaka ya nchi kubwa ya Tanzania atapigika mpaka kwake amalizwe kama hataikimbia nchi yake akafie uhamishoni. Hii nchi ingekuwa ya kijinga kule karagwe, ngara na misenyi washenzi wangevamia na kufanya ushenzi wao ila wanachua kuna moto mkali muhuni atapelekewa mpaka kitandani kwake ndio maana washenzi hawathubutu kuingia Tanzania kama Congo mashariki
comrade!!!! alaf TZ,tunajifanya mafaaaala!!! ila m2 akijifanya ana2jua anapata moto wa ajabu!!
 
Nasikia kuna Rafiki yao Mwingine 'Taifa Nafiki Nafiki' la Afrika Mashariki nao Kisirisiri watakuwa Wanawasaidia Congo DR na Burundi katika Kuipiga Israel ya Afrika ( Rwanda ) ya Military and Intelligence Genius Rais Paul Kagame hivyo GENTAMYCINE nachukua nafasi hii Kuwaonya kwani hawatoamini kwa kile ambacho kitaenda Kuwapata.
Sijajuaaaaaaa elimuyakoyamwishooo naamini Mungu amekupa machooooo

Naa akilizakoo m23 inatoka BUKOBA??
 
Nasikia kuna Rafiki yao Mwingine 'Taifa Nafiki Nafiki' la Afrika Mashariki nao Kisirisiri watakuwa Wanawasaidia Congo DR na Burundi katika Kuipiga Israel ya Afrika ( Rwanda ) ya Military and Intelligence Genius Rais Paul Kagame hivyo GENTAMYCINE nachukua nafasi hii Kuwaonya kwani hawatoamini kwa kile ambacho kitaenda Kuwapata.
Rwanda ipigwe inaongozwa na gaidi, mwizi wa rasilimali za mataifa mengine na anafadhili makundi ya uasi. Wapigwe kenge hao
IMG_20231230_225106.jpg
IMG_20231230_224844.jpg
 
Wenye Akili Kubwa kama Wewe hapa JamiiForums na wale ambao huwa Wananielewa vyema kabisa GENTAMYCINE kwa Mitazamo yangu ya Kina na ya Kimantiki huwa hampo Wengi.

Asante kwa hii Elimu yako Kubwa kwa Wapumbavu wengi Waliochangia huu Uzi kwa Mihemko na Kukurupuka.

Na kwa Kujiamini kabisa nikiwa na sababu zangu za Ndani nasema kuwa Tanzania haina uwezo wa Kuipiga / Kupambana Kivita na hata Kijasusi na Rwanda kwani itapigwa Asubuhi na mapema.

Wacha waendelee tu Kunidharau Mkuu.
Mpuuzi wahed.
 
we mpumbavu tunakujua siyo raia wa Tanzania, siku zako zinahesabika za kuondoka nchini mwetu. Mbwa usiye na haya, ondoka nchini mwetu.
Mpumbavu Mwenyewe na Mbwa ni wale Wawili waliokuleta duniani na siyo Mimi kama ulivyoandika hapa.
 
Back
Top Bottom