Hao RDF anishirikuana na waasi wa Burundi walitaka kumpindua Nkurunzinza2015, JWTZ ikapeleka makomandoo wakatembeza kichapo kwa hao wanyarwanda na kumrejesha Nkurunzinza madarakani. JWTZ Ni habari nyingine mkuu don't mess with them, ndiyo maana hata hao Rwanda wanaleta vijana wao kupata training za kijeshi kwenye military academy zetu. Au huwa hufuatilii hata taarifa wakati Rais akihitimisha mafunzo ya maafisa Cadet na akitoa kamisheni za kijeshi utasikia, wahitimu kadhaa kutokea Rwanda, Zimbabwe, Uganda, Kenya na Egypt?