Kwa dhuluma ambayo Jakaya Kikwete alimfanyia Mzee Lowassa, ataumaliza uzee wake bila amani

Ushawahi muona mtu asiyepata chozi? Kuna watu wana roho ngumu kama si binadamu.
 
Kweli mnasomea ujinga siku hizi.Kwahiyo unataka kusema kua urais inabidi uwe wa kupeana maswaiba? Hizi sio akili nzuri bali ni tktk kabisa
 

Ila Kikwete kuliamrisha jeshi kumlazimisha Jecha kufuta uchaguzi Zanzibar hatumsamehe katu milele
 
Lowassa alirudi CCM baada ya vitisho, kwani hujui ukipingana na serikali unapewa kesi ya Uhujumu uchumi? Au utaambiwa wewe Siyo mtanzania?Ni matajiri wachache Sana Tanzania wanaweza kupingana na Serikali wakaendelea kuwa matajiri!

Tanzania ukitaka Mali zako zisiguswe, abudu CCCM and you are UNTOUCHABLE!
 
Watanzania haswa viongozi ni wanafiki Sana, Husifia mtu wakati kafariki, sifa zilizomwagwa Leo mpaka unajiuliza kwa sifa zote hizo kwanini walimkata jina?

Viongozi wazuri, watu kama Dk Salim hawakupewa nafasi na CCM, ndiyo maana hatuendelei. Mpaka tuache unafiki
 
Rais wa mioyo yetu.
Kuna mahali nimesoma kuwa aliyekuwa waziri wa nishati wakati wa kashfa ya Richmond Dr. Msabaha nae amevuta!! Sijui kweli?
Kama ni kweli Kikwete ana kazi; wiki hii tu waziri mkuu na mawaziri wawili wameondoka!
 
Jana alikuwa frontline kumsifia kwenye vyombo vya habari...nadhani maneno ya mtandaoni ya watu kumshambulia sana ikabidi leo alipoitwa kutoa neno hakuongea kabisa maana nadhani nafsi yake inamsuta sana ..
 
Kwani Boss ni mgeni wa mambo haya? Yeye mwenyewe Alisha pata joto ya jiwe!
 
Watanzania wengi hatujui nini tunaongea.
 
Story ndefu Nyerere babayenu wa taifa si alikataa katakana Lowasa aside raisi,na pia alimkaralia John Malekela,maisha yanaendelea Lowasa alikuwa tajiri sana huo uraisi hauna ulazima kwake istosll
 
Lowasa alikua mstaarabu kupita kiasi.
Mungu alimpa busara iliyozidi kipimo..
Hakua mtu wa kujibizana
 
We bwege tu huna jipya mfuasi wa mzilikande πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Acha umbumbumbu wako. Unaposema alishinda ni alishinda katika uchaguzi upi na kwa ushahidi upi? Tatizo umeandika mada kwa kutumia hisia badala ya kutumia akili.
Umesahau kuweka namba ya simu πŸ˜‚,au kwenye threads tu unazoanzisha!?.Ushauri,anza kuweka na kwenye comments huenda ukakumbukwa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kuna kila uwezekano wa unalolisema ni kweli. CCM hakuna msafi Kaka, Richmond ni mchongo wa BT. Wote ni mafisadi ndani ya CCM, Ila siasa ni mchezo wa akili na maarifa. Ila kumpa ENL sifa ufisadi kana kwamba wengine wote si mafisadi napinga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…