Dokta gani huyoo??Nimeona huko X jamaa wanamuwakia moto huyu mzee, yaani walikuwa wanamsubiri aongee tu waluke naye.
Kuna picha nimeiona kwa karibu mzee anazeeka kwa hatua za haraka sana, mara nyingi dhuruma huwa haipiti hivi hivi, inakutafuna ukiwa hujijui, muangalie yule dokta pale JKIC anavyoliwa!.