Kwa dhuluma ambayo Jakaya Kikwete alimfanyia Mzee Lowassa, ataumaliza uzee wake bila amani

Eti marehem lowasa alidhulumiwa urais!!!
CCM maji yalikua yemewafika shingoni wakaona waweke mtu aliejiuzulu kwa kashfa ni kuwapa chadema nafasi ya kujipenyeza ikulu. Mapatano yakawa marehemu Magufuli ambae hakuwa na madoa makubwa kama wengine. Yaliofuata ni historia.
 
Kama mtu akinisaidia kunipandisha juu kisha baadaye na yeye akataka msaada wangu nimsaidie naye apande huku nilipokuwepo lakini mimi nikaamua kumkaushia na kumpiga biti asije huku juu watu lazima watasema mimi ni mtu mbaya sana. !
Very simple mathematics [emoji3461] !

Kwanini unajali watu watasema nini katika kufanya maamuzi yako?

Halafu kusaidiana ni hiyari na hiyari sio utumwa.
 
Madaraka makubwa, usipokuwa na hekima, hasa hekima ya Mungu, yanalevya. Na ukikosa hekima unaweza kudhania kuwa wewe ni kila kitu, kwa sababu hakuna wa kukuhoji wala kukuadhibu.

Mathalani madaraka ya Rais wa Tanzania, anaweza kuyatumia vyovyote apendavyo, hata kuua, akitaka, na asihojiwe wala kushtakiwa mahali popote Duniani.

Lakini hawa watawala, kwa kukosa hekima huwa wanaamini kuwa hawawezi kuhojiwa Duniani, ahera wala hata na nafsi zao.

Marehemu Lowasa, aliuishi uaminifu kwa urafiki wake na Kikwete, lakini Kikwete alimsaliti na kumdhulumu rafiki yake.

Lowasa alijitoa kwa nguvu na moyo wake wote katika kuhakikisha Kikwete anakuwa Rais. Hata ndege iliyompeleka Kikwete Dodoma wakati anautafuta Urais, naambiwa iligharamiwa na Lowasa.

Serikali ya Kikwete ipopata msukosuko kutokana na kashfa ya Richmond, huku Msabaha akitamka wazi kuwa zigo la Richmond halikuwa lake kama waziri, kwa sababu wakati wote aliwasiliana na Serikali kupitia Waziri Mkuu, na hivyo kama kuna makosa, basi ni makosa ya Serikali nzima, Lowasa alimwendea Kikwete kumweleza kuwa yeye ameamua kujiuzulu ili kuilinda Serikali. Kikwete alikataa ombi la Lowasa kujiuzulu, lakini marehemu alishikilia msimamo wake, akiamini ndiyo njia ya kuiokoa Serikali ya Kikwete isidondoke, na pengine ipate imani ya aina fulani toka kwaWabunge.

Katikati ya safari yao, tofauti na makubaliano yao ya awali kuwa yeye marehemu amsaidie Kikwete kuwa Rais 2005, halafu Kikwete amsaidie marehemu kuutafuta Urais mwaka 2015, Kikwete alimtosa rafiki yake na kutaka Urais uende kwa mdogo wake.

Kikwete akifahamu wazi kuwa hakukuwa na mgombea yeyote ndani ya CCM na hata nje, wa kumzidi marehemu, akatumia madaraka yake, kuliondoa jina la Lowasa, lisipelekwe kwenye mkutano mkuu wa CCM.

Huku zaidi ya wajumbe 2,000 wa mkutano mkuu wa CCM wakiwa wamejiandaa kumpigia kura Lowasa RIP, kwa mshangao mkubwa wakaambiwa jina la Lowasa halipo.

Wajumbe wa mkutano mkuu, baada ya kuujua ukweli namna Kikwete alivyodhulumu haki ya rafiki yake wa awali ili Urais uende kwa mdogo wake, wakaitana nje, wakaambizana kuwa wale wote waliokuwa wamejiandaa kumchagua Lowasa, kura zao wampe mgombea aliyeonekana dhaifu kuliko wote, na ambaye amewekwa na Kikwete kama chambo. Ndipo ushindi ulipomwangukia Magufuli RIP.

Lowasa hakukata tamaa, aliamua kugombea nafasi ile ile kupitia CHADEMA. Sote tunayakumbuka mafuriko ya Lowasa. Lakini Kikwete akiwa amefunga mkataba wa kudumu wa kumdhulumu marehemu, huku majumuisho ya kura kutoka vituoni yakionesha wazi kuwa Lowasa alikuwa anaongoza kwa kura nyingi, aliwatuma Polisi kwenda kuvamia kituo cha ujumlishaji kura za Lowasa, wakapora computers zote, na kuwaweka mahabusu wajumlishaji wa kura.

Watanzania, nyakati hizi, tunaombeleza msiba wa Edward Lowasa, ambaye kiuhalisia ndiye aliyechaguliwa na wananchi kuwa Rais wa JMT mwaka 2015.

Lakini ni Kikwete pia, ndiye aliyemdhulumu ushindi wa Urais wa Zanzibar, Maalim Seif RIP.

Dhuluma ya Kikwete kwa marehemu hawa, itaitafuna nafsi yake mpaka siku yake ya mwisho. Madaraka yalimlevya, akaisahau haki. Akasahau kuwa madaraka ni kitu cha kuja na kupita, lakini haki huamua maisha yako ya leo na ya umilele.

Nina hakika, hata wakati huu wamsiba, watu watamtazama Kikwete kwa kujiuliza maswali mengi sana. Je, anaupenda sana na kuisikitikia mwili wa marehemu kuliko nafsi ya marehemu ilipokuwa hai?

Ndugu zangu, tutendeni haki ili tuwe na amani hadi siku za uzee wetu.

Kwa heri Lowasa, mtu uliyependwa na Watanzania walio wengi, ukadhulumiwa na wachache.

Mungu wa rehema, tunakuomba umtuze mja wako kwa raha ya milele kwani aliyathamini uhai wa wengine kuliko madaraka yake binafsi.
Kikwete atakuja kufa kifo kibaya sana Kuliko viongozi wote Tanzania
 
Kwamba Lowassa 'Urais ulikuwa ni Haki yake kutoka Kwa Mungu' kwahiyo kadhulumiwa?

Cha ajabu wanaolia Lia na hili ni Chadema. Kama Lowassa aliona CCM wamemdhulumu why alirudi CCM?
Kama alisamehe why Chadema inawauma sana?

Lowassa hii Haki ya kuwa Rais ilitoka wapi?si na Kambona nae watoto wake watadai Nyerere alimdhulumu Urais?watoto wa Sokoine je waseme Baba Yao aliuwawa ili asiwe Rais?

Mijitu mizima inalialia na consipiracy theory za kitoto kabisa
Wewe huwa mpumbavu sana siku zote
 
Madaraka makubwa, usipokuwa na hekima, hasa hekima ya Mungu, yanalevya. Na ukikosa hekima unaweza kudhania kuwa wewe ni kila kitu, kwa sababu hakuna wa kukuhoji wala kukuadhibu.

Mathalani madaraka ya Rais wa Tanzania, anaweza kuyatumia vyovyote apendavyo, hata kuua, akitaka, na asihojiwe wala kushtakiwa mahali popote Duniani.

Lakini hawa watawala, kwa kukosa hekima huwa wanaamini kuwa hawawezi kuhojiwa Duniani, ahera wala hata na nafsi zao.

Marehemu Lowasa, aliuishi uaminifu kwa urafiki wake na Kikwete, lakini Kikwete alimsaliti na kumdhulumu rafiki yake.

Lowasa alijitoa kwa nguvu na moyo wake wote katika kuhakikisha Kikwete anakuwa Rais. Hata ndege iliyompeleka Kikwete Dodoma wakati anautafuta Urais, naambiwa iligharamiwa na Lowasa.

Serikali ya Kikwete ipopata msukosuko kutokana na kashfa ya Richmond, huku Msabaha akitamka wazi kuwa zigo la Richmond halikuwa lake kama waziri, kwa sababu wakati wote aliwasiliana na Serikali kupitia Waziri Mkuu, na hivyo kama kuna makosa, basi ni makosa ya Serikali nzima, Lowasa alimwendea Kikwete kumweleza kuwa yeye ameamua kujiuzulu ili kuilinda Serikali. Kikwete alikataa ombi la Lowasa kujiuzulu, lakini marehemu alishikilia msimamo wake, akiamini ndiyo njia ya kuiokoa Serikali ya Kikwete isidondoke, na pengine ipate imani ya aina fulani toka kwaWabunge.

Katikati ya safari yao, tofauti na makubaliano yao ya awali kuwa yeye marehemu amsaidie Kikwete kuwa Rais 2005, halafu Kikwete amsaidie marehemu kuutafuta Urais mwaka 2015, Kikwete alimtosa rafiki yake na kutaka Urais uende kwa mdogo wake.

Kikwete akifahamu wazi kuwa hakukuwa na mgombea yeyote ndani ya CCM na hata nje, wa kumzidi marehemu, akatumia madaraka yake, kuliondoa jina la Lowasa, lisipelekwe kwenye mkutano mkuu wa CCM.

Huku zaidi ya wajumbe 2,000 wa mkutano mkuu wa CCM wakiwa wamejiandaa kumpigia kura Lowasa RIP, kwa mshangao mkubwa wakaambiwa jina la Lowasa halipo.

Wajumbe wa mkutano mkuu, baada ya kuujua ukweli namna Kikwete alivyodhulumu haki ya rafiki yake wa awali ili Urais uende kwa mdogo wake, wakaitana nje, wakaambizana kuwa wale wote waliokuwa wamejiandaa kumchagua Lowasa, kura zao wampe mgombea aliyeonekana dhaifu kuliko wote, na ambaye amewekwa na Kikwete kama chambo. Ndipo ushindi ulipomwangukia Magufuli RIP.

Lowasa hakukata tamaa, aliamua kugombea nafasi ile ile kupitia CHADEMA. Sote tunayakumbuka mafuriko ya Lowasa. Lakini Kikwete akiwa amefunga mkataba wa kudumu wa kumdhulumu marehemu, huku majumuisho ya kura kutoka vituoni yakionesha wazi kuwa Lowasa alikuwa anaongoza kwa kura nyingi, aliwatuma Polisi kwenda kuvamia kituo cha ujumlishaji kura za Lowasa, wakapora computers zote, na kuwaweka mahabusu wajumlishaji wa kura.

Watanzania, nyakati hizi, tunaombeleza msiba wa Edward Lowasa, ambaye kiuhalisia ndiye aliyechaguliwa na wananchi kuwa Rais wa JMT mwaka 2015.

Lakini ni Kikwete pia, ndiye aliyemdhulumu ushindi wa Urais wa Zanzibar, Maalim Seif RIP.

Dhuluma ya Kikwete kwa marehemu hawa, itaitafuna nafsi yake mpaka siku yake ya mwisho. Madaraka yalimlevya, akaisahau haki. Akasahau kuwa madaraka ni kitu cha kuja na kupita, lakini haki huamua maisha yako ya leo na ya umilele.

Nina hakika, hata wakati huu wamsiba, watu watamtazama Kikwete kwa kujiuliza maswali mengi sana. Je, anaupenda sana na kuisikitikia mwili wa marehemu kuliko nafsi ya marehemu ilipokuwa hai?

Ndugu zangu, tutendeni haki ili tuwe na amani hadi siku za uzee wetu.

Kwa heri Lowasa, mtu uliyependwa na Watanzania walio wengi, ukadhulumiwa na wachache.

Mungu wa rehema, tunakuomba umtuze mja wako kwa raha ya milele kwani aliyathamini uhai wa wengine kuliko madaraka yake binafsi.
Mambo mengine kama ni kweli mtu unaweza kumsaliti rafiki yako wa karibu na wasiku nyingi,unaweza kukosa Amani kwa maana wanadamu tumeumbwa na nyuso za aibu na robo za kujuta
 
Na ndio dunia ilipo sasa, watu wa hovyo ndio wanapewa kipaumbele na shida kubwa zaidi ni katika kulindiana maslahi.

Waadilifu Mfumo hauwataki hawatokubali kulinda maslahi ya ubadhirifu na ufisadi.

Sasa kwa nchi yetu watu wengi wameamua kuwa watu wa “hovyo ili mradi yake binafsi yatimie, tutaponea wapi?!

Mapambano bado ni makubwa.
Uadilifu ni disqualification katika kupanda ngazi.

Yani unaambiwa kabisa, ukitaka ubunge hapa ni kazima utie rushwa, ukete siasa za udini, utoe ahadi za uongo.

Ukijiangalia wewe muadilifu, huwezi kufanya uhuni huo, unakataa.

Anakuja mwenzako hajali, anafanya, anapata ubunge, anapata uwaziri, anapata urais.

Halafu huyo ndiye anatakiwa kuongoza vita dhidi ya siasa za uongo na rushwa.

Mfumo wenyewe umekaa kimaigizo.
 
Nakunukuu

"""Cha ajabu wanaolia Lia na hili na Chadema...kama Lowassa aliona Ccm wamemdhulumu why alirudi CCM?
Kama alisamehe why Chadema unawajua sana?""""

Vita alivyo pigana JPM ndio vita vilivyo kua vya wana mabadiliko na for sure JOHN POMBE MAGUFULI alimuheshimu sana tena sana EDWARD LOWASSA na hakuwai toa shombo Wala shit zozote Kwa EL

Kama una clip tuwekee hapa

Na ndio maana LOWASSA alipo rudi CCM alisema maneno mawili NIMERUDI NYUMBANI

CCM YA JPM haikua na matatizo na EDWARD LOWASSA

MAGUFULI akiwa raisi aliwai kumkimbilia kumsalimia kaka yake EDWARD LOWASSA na hata kumpa mialiko ya ikulu....
Lowasa ndio alijikaza kumkimbilia Magu, clip zipo
 
Kwanini unajali watu watasema nini katika kufanya maamuzi yako?

Halafu kusaidiana ni hiyari na hiyari sio utumwa.
Wanasemaga one good turn deserves the other !!
Tatizo moja kubwa kabisa kwa mwanadamu hapa Duniani ni kuweza kuwa na peace of mind 🙏🙏

Na uzuri wake ni kwamba hiyo peace of mind hainunuliwi kwa pesa yeyote ile !!
🙏🙏
 
Uadilifu ni disqualification katika kupanda ngazi.

Yani unaambiwa kabisa, ukitaka ubunge hapa ni kazima utie rushwa, ukete siasa za udini, utoe ahadi za uongo.

Ukijiangalia wewe muadilifu, huwezi kufanya uhuni huo, unakataa.

Anakuja mwenzako hajali, anafanya, anapata ubunge, anapata uwaziri, anapata urais.

Halafu huyo ndiye anatakiwa kuongoza vita dhidi ya siasa za uongo na rushwa.

Mfumo wenyewe umekaa kimaigizo.
Huyo muhuni atapata kila kitu ulichokitaja hapo ila atakosa peace of mind maisha yake yote !!

Kama nchi tuko kwenye mkwamo mkuu ni kwa vile tu bado mapafu yana pumzi, otherwise hatuna tofauti sana na zombies.
 
Huyo muhuni atapata kila kitu ulichokitaja hapo ila atakosa peace of mind maisha yake yote !!
[emoji120][emoji120]

Tatizo la hapa duniani, peace of mind is a currency so priceless haiwezi hata kukununulia maji ya kunywa.

Meanwhile huyo aliepata kila kitu na kupoteza peace of mind anauwezo wa kununua sio tu maji ya kunywa, bali mpaka chanzo cha maji anao uwezo wa kukimiliki na isiwe shida.

Dunia rangilangile.
 
wala tusiende mbali, JK naye ni mwanadamu, anaweza kukosea. kuna wakati rafiki yako wa karibu kabisa anaweza kukuzingua hadi mkawa maadui, though moyoni bado mnakumbuka yale ambayo mlishawahi kufanya pamoja. jana ukimwangalia alikuwa anainama kwa uchungu kwasababu anakumbuka mengi mazuri waliyofanya pamoja na anaumia kifo cha rafiki yake wa zamani. na si ukute jk alishawahi kwenda kutaka kuyajenga na jamaa kwasababu aliumizwa sana akampiga chini, JK ni muungwana sana na mpenda suluhu. na huwezi kuhukumu moja kwa moja JK kwasababu huwezi kujua kwenye nyuma ya pazia nini leigwani alifanya. tunamjua alivyokua, mtu hata akiwa rafiki yako akikupanda kichwani unatakiwa kumshusha, asipotaka kushuka akuheshimu ndio huishia hayo aliyoishia leigwani. pimeni pande zote mbili.
 
Back
Top Bottom