Kwa Dkt. Dorothy Gwajima, CCM imelamba Dume. 2025 Rais awe yeye kulingana na usomi alio nao

Waislamu uthamini utu uthamini maendeleo ya watu kuliko vitu.
Dini imewashape na kuwapa hekima na busara.Viongozi wa Kikristo wameacha wajibu wao thus asilimia 90% ya madikteta wote ni Wakristo fanya research.
Omar al Bashir, Omar Bongo, Sani Abacha, Gaddafi, Zia Ul Haq, Iddi Amin ..... Na wale wafalme wa Mashariki ya Kati wote ni wamisheni. Ni nchi chache sana zinazojiita za kiislamu ambazo zina uongozi wa kupigiwa kura na wananchi wake.

Usipende sana u dini. Hamna dini yenye monopoly ya uovu. Pima mtu kwa anacho kitenda, sio dini yake. Usipofanya hivyo utakubali dhulma kwa sababu tu anaefanya hivyo ni muislamu mwenzako.

Amandla...
 
Kwani Dorothy ni Msukuma? Aweso, Byabato, Nchemba,Lukuvi, Mkuchika,Ndumbaro, Mkande, Ummmy, Jaffo, Kitila , Bashungwa, Pinda just to mentioned the few
uelewe, wasukuma/kanda ya ziwa; ndiyo wengi angalia maeneo nyeti
 
Tanzania kuongozwa na wasukuma ni kujiimarisha ktk umaskini, tunajifunza kwa anko Magu jinsi alivyoifikisha nchi hii ktk umaskini mkubwa.

Apite mbali huyo Gwajima 🙄
 
Wewe kweli ni Profesa? Unatuambia kuwa huyu unaemsifia alipandishwa cheo kuwa associate Director kwa sababu alilima ekari 100 za alizeti? Seriously. Kwa jinsi ulivyoandika mhusika alistahili zaidi kuwa waziri wa kilimo.

Amandla...
 
Tafuta list yote ya madikteta kisha wakategorize.Wote uliowataja ni ile 10%
 
Huyu atakuja kuwa Makamu wa rais baada ya Magufuli kuondoka
 
Tafuta list yote ya madikteta kisha wakategorize.Wote uliowataja ni ile 10%
Mimi nimetaja waislamu. Wewe taja wakristu. Tusiandikie mate wakati wino upo.

Tabia ya kutaka ufanyiwe kila kitu ndio inayokufanya uwe duni, sio wakristu.

Amandla...
 
Mimi nimetaja waislamu. Wewe taja wakristu. Tusiandikie mate wakati wino upo.

Tabia ya kutaka ufanyiwe kila kitu ndio inayokufanya uwe duni, sio wakristu.

Amandla...
Bokasa,mobutu,abacha,moi,Mugabe,m7, nkurunziza, nguema, samuel doe, menguist marium, banda kamuzu, jiwe, kagame, juvenal habrimana, buyoya, paul biya, denis sasonguesso, allasane qoutara, kabila, eyadema, chaz tailor, ....
 
Bokasa,mobutu,abacha,moi,Mugabe,m7, nkurunziza, nguema, samuel doe, menguist marium, banda kamuzu, jiwe, kagame, juvenal habrimana, buyoya, paul biya, denis sasonguesso, allasane qoutara, kabila, eyadema, chaz tailor, ....

Jean Bedel Bokassa ( Central African Republic), Robert Mugabe ( Zimbabwe),Pierre Nkurunziza ( Burundi), Paul Kagame ( Rwanda), Francisco Nguema na Teodoro Obiang Nguema( Equatorial Guinea), Samuel Doe ( Liberia) , Mengistu Haile Mariam (Ethiopia), Hastings Kamuzu Banda ( Malawi), Juvenal Habyarimana ( Burundi) , Pierre Buyoya ( Burundi), Paul Biya (Cameroon), Denis Sassou Nguesso ( Republic of Congo), Alassane Outtara ( Ivory Coast), Laurent-Desire Kabila na Joseph Kabila ( Democratic Republic of Congo), Gnassingbe Eyadema ( Togo), Charles Taylor (Liberia)
Sani Abacha ( Nigeria) alikuwa muislamu. Sidhani kama Museveni na Rais wetu unaweza kuwaita ma dictator.

Swali ni jee hao waliokuwa ma dictator, walikuwa hivyo kwa sababu ni wakristu au ni hulka yao tofauti na dini yao? Au, kwa maneno mengine, asilimia 90 ya marais wa kikristu ni madikteta, na waliobaki ni wapinzani wa dini yao ya kidictator.

Amandla...
 
Malezi mabovu mama anaposhindwa kutimiza jukumu lake la malezi kwa kupandikiza utu ndani ya mtoto.Viongozi wa dini kufunga ndoa na madikteta na kutowatenga madikteta kutokemea uovu wao.
 
Nilimwona Dr Gwajima mwezi uliopita akiwa high-table na viongozi wa wizara ya afya kwenye mkutano wao wa mwaka, hapo bado alikuwa TAMISEMI na baraza jipya la mawaziri lilikuwa halijatangazwa.
Viongozi hao walikuwa kama ifuatavyo (sielewi hata nini kilinituma kuandika majina yao walipokuwa wanatambulishwa, mimi sio journalist):
  1. katibu mkuu wa wizara Prof Mabula
  2. Naibu Katibu Mkuu Dr Gwajima
  3. Mganga Mkuu wa serikali Prof Makubi
  4. Mkuu wa taasisi gani sijui Dr Masanja
  5. Mkurugenzi wa idara Dr Magembe
  6. Mkurugenzi mwingine Dr Subi
  7. Kiongozi mwingine sikumbuki wa nini Dr Ogilo
High table ilikuwa high table kweli, yaani wangeweza hata kuongea yao kwa kilugha kwanza halafu ndipo watuletee kwa kiswahili !

Sasa kawa Waziri, vikao vya wizara vitanoga zaidi!
 
Kwahiyo mama yako ni kiumbe wa kuzimu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…