Kwa documentary ya Pele hii iliyotoka nitakuwa mpuuzi kuendelea kumlinganisha na watoto wadogo kina Messi

hapo zijaiona R - Zidane........zote pele amepiga ila R - Zidane zijaiona
 
Watu tuna akili 'vipande vipande'.Kwahiyo unataka kusema mazoezi ya wachezaji hao wanategemea clip za Pele?
Hizo hata huku kijijini wapo wanaojua kupiga,nao wameiga kwa Pele?
Wewe kwanini usiige na ukawa kama Pele?na mimi nikiiga nitakuwa kama yeye?
 
Ulipogusia ya Ribery na Cristiano nikajua unafuatilia soka. Big up
 
Acheni kumfananisha Messi na vitu vyakijinga
 
Amna kitu hapo beki zenyewe mbona hazikabi zinaangalia tu
 
Daaa...kweli bora wameomba msamaha kutofanya compilation vzr....hii mutu ilikuwa jiniasi
Ila inaonesha neimar analeta vitu vingi vya kwake.....may be anaweza kuwekwa levo moja na legend pele
 
Huenda jamaa alikuwa hajazaliwa au alikuwa mdogo sana kujua kwamba hawa jamaa walishindanishwa kwenye tunzo ya mwanasoka bora wa karne ya 20 mwaka huo
Hata hapa bongo ccm walikataa vyama vingi lkn zilipokaa akili kubwa zikawanyima wengi ambao walikalia ushabiki bila utaalamu.....sio kila wengi wanapewa hata km ni wehu
 
Hata hapa bongo ccm walikataa vyama vingi lkn zilipokaa akili kubwa zikawanyima wengi ambao walikalia ushabiki bila utaalamu.....sio kila wengi wanapewa hata km ni wehu
 
Duh jamaa si mchezo, vijana wengi hawafahamu haya mambo...Fifa tupeni vitu zaidi vya mashujaa wetu katika soka ili tuwajue zaidi
 
Bruce Lee
Mohamed ali (the great )
Bob marley
Michael Jordan
Michael Jackson
Pele wa brazil
Hawa viumbe walifanya yao endeleeni tu kuwafananisha ila kwangu mimi walikuwa na vipaji na vipawa vya hali ya juu sana
Kipaji cha Bruce Lee ni kipi mkuu
 
Kipaji cha Bruce Lee ni kipi mkuu
Tizama moja kati ya filamu zake enter the dragon humo utawakuta akina Jim kelly na John saxon alifanya mambo yake. Kipaji au neema ya kitu ukiwa umepewa na kisha ukakifanyia mazoezi unazidi kuwa mzuri. Hata leo hii baadhi ya watu husema ni zawadi toka kwa mungu. Watu wengine wanafanya lakini hawaendi mbali au vizuri zaidi kuliko weye.
 
Hahaa wabongo bana πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ yote kujifariji tu. Messi amewakaba koo sio mchezo πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Hebu tuambie Messi amemzidi pele kiuchezaji kwenye nyanja ipi labda?..Achana na hayo matuzo sijui ya FIFA,kipindi cha kina Pele kuna uwezekano pia hayakuwepo.Pia siku hizi yameshaingiliwa na wafanyabiashara...Tuambie kiuchezaji Messi amemzidi hata Ronaldinho wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…