yamindinda
JF-Expert Member
- Jul 29, 2011
- 1,581
- 1,318
Documentary iliyotolewa na FIFA inaonesha kwamba Pele mambo yote aliyofanya Ronaldo de Lima el Phenomenon kayafanya miaka 50 iliyopita, kweli inamaliza ubishi wote wa wanazi kina SHAFY DAUDA,
Mambo alifanya Lionel Messi uwanjani yamefanywa na Pele miaka ya zamani sana na mengine Messi hajayafanya
Mambo aliyofanya Zinedine Zidane Uwanjani yote wamecopy Kwa Pele ,
Mambo aliyofanya Cristiano Ronaldo yote kayafanya Pele miaka 50 iliyopita na mengine Ronaldo hajayafanya mpaka sasa,
FIFA wame apologize Kwa kuchelewa kurelease baadhi ya video pia na ubora wake haukuwa mzuri lakin wamefanya kuonesha kila anachofanya mchezaji wa sasa na waliopita wanalinganisha na matukio ya Pele uwanjani,
Video imeeleza kila kitu Kwa undani kabisa
Hapo utaona Luis figo, Ronaldo original, Roberto Carlos, Zidane, Fredrik Ljumberg , Messi n Ronaldinho matukio na mambo walofanya wanaonesha walipoyacopy Kwa pele,
Pitia video hii Kwa umakini,
Ukimaliza umpe salute Pele
hapo zijaiona R - Zidane........zote pele amepiga ila R - Zidane zijaiona