Pang Fung Mi
JF-Expert Member
- Nov 10, 2022
- 6,653
- 13,919
Naomba kuwasilisha ndugu wana jukwaa, Taifa hili linapita katika nyakati ngumu sana awamu hii ya 2015-2025, mengi yametokea na yanaendelea kutokea, Lissu ata set precedence ya mambo yanayokuja mbeleni kwenye maeneo kadhaa ambayo sipaswi kuyasema.
Demokrasia ndani ya CHADEMA ni chachu ya demokrasia ndani ya CCM.
Mungu wa mbinguni awape maisha marefu ili mpate kuyashuhudia maono yangu kwa kibali cha Mungu wetu na kwa niaba ya Taifa na wananchi.
Kwa pamoja tutashinda na Mungu ampe maisha marefu Jakaya M Kikwete. Chachu ya demokrasia ni haki na uhuru.
Shukrani kwa hayo machache