Pang Fung Mi
JF-Expert Member
- Nov 10, 2022
- 6,653
- 13,919
Unadhani watunwote wanapata vioato vyao Kwa kutumia mdomo/siasa?Naomba kuwasilisha ndugu wana jukwaa, Taifa hili linapita katika nyakati ngumu sana awamu hii ya 2015-2025, mengi yametokea na yanaendelea kutokea, Lissu ata set precedence ya mambo yanayokuja mbeleni kwenye maeneo kadhaa ambayo sipaswi kuyasema.
Demokrasia ndani ya CHADEMA ni chachu ya demokrasia ndani ya CCM.
Mungu wa mbinguni awape maisha marefu ili mpate kuyashuhudia maono yangu kwa kibali cha Mungu wetu na kwa niaba ya Taifa na wananchi.
Kwa pamoja tutashinda na Mungu ampe maisha marefu Jakaya M Kikwete. Chachu ya demokrasia ni haki na uhuru.
Shukrani kwa hayo machache
Pang Fung Mi
Tundu lissu for Chadema, Tundu Lissu For Tanzania.Naomba kuwasilisha ndugu wana jukwaa, Taifa hili linapita katika nyakati ngumu sana awamu hii ya 2015-2025, mengi yametokea na yanaendelea kutokea, Lissu ata set precedence ya mambo yanayokuja mbeleni kwenye maeneo kadhaa ambayo sipaswi kuyasema.
Demokrasia ndani ya CHADEMA ni chachu ya demokrasia ndani ya CCM.
Mungu wa mbinguni awape maisha marefu ili mpate kuyashuhudia maono yangu kwa kibali cha Mungu wetu na kwa niaba ya Taifa na wananchi.
Kwa pamoja tutashinda na Mungu ampe maisha marefu Jakaya M Kikwete. Chachu ya demokrasia ni haki na uhuru.
Shukrani kwa hayo machache
Pang Fung Mi
We unawaza njaa tu. Mkuu Usitangulize njaa unapotaka kufanya kitu. Njaa ina compromise akili.Unadhani watunwote wanapata vioato vyao Kwa kutumia mdomo/siasa?
AminaMungu wa mbinguni awape maisha marefu ili mpate kuyashuhudia maono yangu kwa kibali cha Mungu wetu na kwa niaba ya Taifa na wananchi.
Na yule chipsi yai Japo anayumbayumba sanaTWENDE NA LISSU NA KWENYE SAFU YAKE AWEPO HECHE,SUGU.
Huyo amejiwekeza kwa MboweNa yule chipsi yai Japo anayumbayumba sana
Bila njaa hakuna kufanya kitu ndio maana mnazodoana huko kwenye kazi yenu ya saisa kisa tumboWe unawaza njaa tu. Mkuu Usitangulize njaa unapotaka kufanya kitu. Njaa ina compromise akili.
eti anaitwa boni yai, jina linataka kufanana na rais mmoja wa nchi moja ya afrika magharibiNa yule chipsi yai Japo anayumbayumba sana
Hapo umegusa ndio fikiria zaidi nilichosemaKuna Nini nyumba ya pazia mbona lisu anapigiwa sana kampeni hata na ccm!?