Kwa gari hii niliyonunua jinsi watu wanavyonipa heshima, sasa sijui ingekuaje ningenunua BIMA!

Duh! Salute![emoji137]
 
mjini ukiwa hata naki i.s.t unavimba. hata vits ilimladi unatembelea miguu minne.
 
Ngono na Pombe

Kwa kijana masikini akiendeleza ngono na Pombe hawezi kununua gari ya Mil 12 na huu utabaki Kama ukweli

Kwa jua jinsi linavyochoma hapa town gari Kama hiyo spasho lazima wakupe heshima na Ukimwi lazima uwapatie.
 
Pole Sana Mkuu. Ni bora Kufa Kimwili lakini si Kiroho. Inaonekana hata Maana ya Sadaka hujui!
 
South Africa BMW ndio gari za bei rahisi, maana zipo series nyingi sana.

Kama unapenda BMW nunua South Africa.
Inaweza ikawa dollar /Randi ngapi BmW X 3 kwa sauzi
 
Duh! hii chuma kwa mwanaume ni kama haivutii sana (mtazamo binafsi)
 
Kweli mkuu Mimi Nina mabati yangu Corolla 100 msimu wa mvua natamba nacho na ninavyowacheki kwa dharau wapanda daladala tena nikikuta kidimbwi nawarushia maji.
 
Hicho chuma,kuna mdau mtaani kwetu alikuwa anakiuza milion 4 Kizima.

Maana kanunua gari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…