Kwa gari hii niliyonunua jinsi watu wanavyonipa heshima, sasa sijui ingekuaje ningenunua BIMA!

Kwa gari hii niliyonunua jinsi watu wanavyonipa heshima, sasa sijui ingekuaje ningenunua BIMA!

Kwani kati ya kwenye pombe na misikitini na makanisani ni wapi panaongoza parking zake kupaki magari makali?

Kama ulidhani pombe inatia umaskini, amka toka usingizini, wewe ni maskini unayependa pombe, hakuna pombe inampa mtu umaskini, umaskini unaweza kupata hata kanisani kwa kukamuliwa sadaka zisizo kichwa wala miguu kwa kutishiwa tu maisha ya mbinguni wakati huyo anayekutisha hajawahi kufika na wala hajui hatma yake.
Duh! Salute![emoji137]
 
mjini ukiwa hata naki i.s.t unavimba. hata vits ilimladi unatembelea miguu minne.
 
Ngono na Pombe

Kwa kijana masikini akiendeleza ngono na Pombe hawezi kununua gari ya Mil 12 na huu utabaki Kama ukweli

Kwa jua jinsi linavyochoma hapa town gari Kama hiyo spasho lazima wakupe heshima na Ukimwi lazima uwapatie.
 
Kwani kati ya kwenye pombe na misikitini na makanisani ni wapi panaongoza parking zake kupaki magari makali?

Kama ulidhani pombe inatia umaskini, amka toka usingizini, wewe ni maskini unayependa pombe, hakuna pombe inampa mtu umaskini, umaskini unaweza kupata hata kanisani kwa kukamuliwa sadaka zisizo kichwa wala miguu kwa kutishiwa tu maisha ya mbinguni wakati huyo anayekutisha hajawahi kufika na wala hajui hatma yake.
Pole Sana Mkuu. Ni bora Kufa Kimwili lakini si Kiroho. Inaonekana hata Maana ya Sadaka hujui!
 
Duh! hii chuma kwa mwanaume ni kama haivutii sana (mtazamo binafsi)
 
Kweli mkuu Mimi Nina mabati yangu Corolla 100 msimu wa mvua natamba nacho na ninavyowacheki kwa dharau wapanda daladala tena nikikuta kidimbwi nawarushia maji.
 
Hicho chuma,kuna mdau mtaani kwetu alikuwa anakiuza milion 4 Kizima.

Maana kanunua gari.
 
Back
Top Bottom