Nasikia Trump bado anaendelea kumsifia MagufuliWadau, amani iwe kwenu. kutoka Dodoma. Nashukuru mkutano ulienda vema na waliokutwa yamewakuta yaliyowakuta. Tunasonga mbele. Wale wavizia mizoga endeleeni kuokota maana safari hii imekuwa mingi sana.
Nianze kwa kuonesha masikitiko makubwa sana kwa Gazeti la Tanzania Daima, linalomilikiwa na Mwenyekiti wa CHADEMA, FREEMAN MBOWE. Hili gazeti kwa kweli limepoteza hadhi ya kusomwa na Watanzania kutokana na kuripoti habari za uongo na uzushi. Hivi karibuni, gazeti hili lilituambia kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda ametoweka Dar es Salaam na kukimbilia Afrika ya Kusini ambako atakaa kwa zaidi ya miezi miwili. Hata hivyo, kabla hata ya wiki moja, Makonda huyooo Dar na sasa anapiga kazi.
Kinachonisikitisha zaidi ni ukimya wa Mmiliki wa gazeti hilo, Freeman Mbowe. Mbowe amekuwa mkimya mnoooo. Ukimya huu unatoa ishara kuwa habari ile ni maelekezo kutoka kwake ili kukoleza mapambano yaliyowashwa moto na Josephat Gwajima kutokana na kutajwa kwao kujihusisha na biashara ya madawa ya kulevya
Mbona hata kichwa cha habari hakieleweki ni kichina au Kihindi? Bashiteforbia inatesa wengi Lumumba, I'm telling u.Wadau, amani iwe kwenu. kutoka Dodoma. Nashukuru mkutano ulienda vema na waliokutwa yamewakuta yaliyowakuta. Tunasonga mbele. Wale wavizia mizoga endeleeni kuokota maana safari hii imekuwa mingi sana.
Nianze kwa kuonesha masikitiko makubwa sana kwa Gazeti la Tanzania Daima, linalomilikiwa na Mwenyekiti wa CHADEMA, FREEMAN MBOWE. Hili gazeti kwa kweli limepoteza hadhi ya kusomwa na Watanzania kutokana na kuripoti habari za uongo na uzushi. Hivi karibuni, gazeti hili lilituambia kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda ametoweka Dar es Salaam na kukimbilia Afrika ya Kusini ambako atakaa kwa zaidi ya miezi miwili. Hata hivyo, kabla hata ya wiki moja, Makonda huyooo Dar na sasa anapiga kazi.
Kinachonisikitisha zaidi ni ukimya wa Mmiliki wa gazeti hilo, Freeman Mbowe. Mbowe amekuwa mkimya mnoooo. Ukimya huu unatoa ishara kuwa habari ile ni maelekezo kutoka kwake ili kukoleza mapambano yaliyowashwa moto na Josephat Gwajima kutokana na kutajwa kwao kujihusisha na biashara ya madawa ya kulevya
Naona mnaazisha thread na kujijibuTanzania Daima wanatia huruma aiseeeee!
Paskali wa siku hizi anastajaabisha.Na Wewe leo ni wa kuyasema haya Mkuu? angalia Mkuu utawafanya Watu waamue kufukua makaburi yako. Wewe mwenyewe wakati ukitangaza na hata ukiandika una uhakika hukuwahi kuongeza chumvi au kupotosha? Uzuri ni kwamba humu JF Watu wengine tunajuana kindakindaki hivyo sometimes tujitahidi kuwa makini na tuache kuwa Wanafiki wa kutukuka.
umeandika kwa kiherehere hiyo heading inamaanisha nini?Wadau, amani iwe kwenu. kutoka Dodoma. Nashukuru mkutano ulienda vema na waliokutwa yamewakuta yaliyowakuta. Tunasonga mbele. Wale wavizia mizoga endeleeni kuokota maana safari hii imekuwa mingi sana.
Nianze kwa kuonesha masikitiko makubwa sana kwa Gazeti la Tanzania Daima, linalomilikiwa na Mwenyekiti wa CHADEMA, FREEMAN MBOWE. Hili gazeti kwa kweli limepoteza hadhi ya kusomwa na Watanzania kutokana na kuripoti habari za uongo na uzushi. Hivi karibuni, gazeti hili lilituambia kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda ametoweka Dar es Salaam na kukimbilia Afrika ya Kusini ambako atakaa kwa zaidi ya miezi miwili. Hata hivyo, kabla hata ya wiki moja, Makonda huyooo Dar na sasa anapiga kazi.
Kinachonisikitisha zaidi ni ukimya wa Mmiliki wa gazeti hilo, Freeman Mbowe. Mbowe amekuwa mkimya mnoooo. Ukimya huu unatoa ishara kuwa habari ile ni maelekezo kutoka kwake ili kukoleza mapambano yaliyowashwa moto na Josephat Gwajima kutokana na kutajwa kwao kujihusisha na biashara ya madawa ya kulevya
Naona inakuuma sana aiseeeee!Naona mnaazisha thread na kujijibu
Vipi kuhusu kipeperushi chenu cha uhuru na tbc mnaobuni habari kwa kumlisha matamshi rais wa marekani?Wadau, amani iwe kwenu. kutoka Dodoma. Nashukuru mkutano ulienda vema na waliokutwa yamewakuta yaliyowakuta. Tunasonga mbele. Wale wavizia mizoga endeleeni kuokota maana safari hii imekuwa mingi sana.
Nianze kwa kuonesha masikitiko makubwa sana kwa Gazeti la Tanzania Daima, linalomilikiwa na Mwenyekiti wa CHADEMA, FREEMAN MBOWE. Hili gazeti kwa kweli limepoteza hadhi ya kusomwa na Watanzania kutokana na kuripoti habari za uongo na uzushi. Hivi karibuni, gazeti hili lilituambia kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda ametoweka Dar es Salaam na kukimbilia Afrika ya Kusini ambako atakaa kwa zaidi ya miezi miwili. Hata hivyo, kabla hata ya wiki moja, Makonda huyooo Dar na sasa anapiga kazi.
Kinachonisikitisha zaidi ni ukimya wa Mmiliki wa gazeti hilo, Freeman Mbowe. Mbowe amekuwa mkimya mnoooo. Ukimya huu unatoa ishara kuwa habari ile ni maelekezo kutoka kwake ili kukoleza mapambano yaliyowashwa moto na Josephat Gwajima kutokana na kutajwa kwao kujihusisha na biashara ya madawa ya kulevya
Cc: LizaboniNzi wa kijani wewe
Cc: LizaboniMWANAHALISI pia wame andika kwa undani kuwa Jina la Mkuu wa Mkoa ni Daudi Albert Bashite na si Paul C. Makonda!! Na simu ya baba yake imesajiliwa kwa jina Bashite.
Yawezekana Mtanzania Daima ina muongelea Paul Makonda Original na si huyu FEKI.
Swali: Je hawa nao wameandika habari za uongo? Make mhusika hajakanusha wala kukiri?
Cc: Lizabonisorry mkuu hivi umewashauri na tbc kutuomba radhi watanzania kwa fake news juu ya mkuu wa kaya????
Swali jingine, amekaa miezi miwili ama hajakaa? Maana kuna wengine wametuambia kuwa wamemuona akiwa amefuatana na wamiliki wa GSM Mall wakaenda mpaka MarekaniSwali ni kuwa alikwenda Afrika ya kusini au hakwenda?
Labda Trump wa pungu road karibu na tbcNasikia Trump bado anaendelea kumsifia Magufuli
Wamesha vurugwaMbona hata kichwa cha habari hakieleweki ni kichina au Kihindi? Bashiteforbia inatesa wengi Lumumba, I'm telling u.
Cc: LizaboniMbona hata kichwa cha habari hakieleweki ni kichina au Kihindi? Bashiteforbia inatesa wengi Lumumba, I'm telling u.