granted but on the flip side, inawezekana kabisa (and I strongly believe that to be the case) kuwa hii whistleblowing ya Tanzania Daima ndiyo imepelekea mtu kutinga timu mjini mapema baada ya kuona imekuwa so.
Mkuu kwa kuwa kuwa upo karibu na waziri wa habari naomba umshauri alishitaki hilo gazeti- "HUENDA?"
le Mutuz
Yawezekana kakatiza likizo baada ya vikao vya CCM kuridhia mabadiliko ya katiba na hivyo kubariki matendo kama ya ufojaji wa vyeti na majina ili kuwalinda makada wake ambao wengi wanatuhumiwa kufanya hivyo.
Kumbukeni kuwa swala la kuungaunga masomo ni zito na kuna wanaodaiwa kupoteza maisha baada ya kuvalia njuga swala hilo wakihoji vyeti vya wakuu fulani fulani. Hata Ndalichako pia inaonekana kasalaimu amri ili vilaza wanaotuhumiwa kutumia vyeti vya kufoji wasiendelee kubughudhiwa.
...hongereni sana CCM ingawa hii bado ni tetesi tu kwa sasa!

Mkuu kwa kuwa kuwa upo karibu na waziri wa habari naomba umshauri alishitaki hilo gazeti
Bila ya kufanya hivyo itaaminika jamaa kakatiza likizo ili kuua soo
Alivyoshtukiwa na kuonekana south akarudi fastaa!

Acha maneno weka vyeti
Mi nilishaachaga kusoma hicho kitoilet paper chao daima!
TBC wataomba lini radhi?
- Kwanza tumalize ya hii mada yaani gazeti lenu kuandika habari za uongo
le Mutuz
TBC wataomba lini radhi?