Kwa Habari Kama hizi, Tafadhali sana Tanzania Daima Mtuombe Radhi Wananchi

Ili kubwa jinga halielew propaganda za CCM......hakuna kinachoshindikana CCM na mipango yao ya uongo, kitengo cha propaganda ndicho kimefanya mipango makonda kurudi bongo ili kuwaprove wrong wananchi kuhusu wanayoyafikiria......
Hii ndiyo sanaa tukufu ya CCM, nchi kibao za africa huwa wanakuja Tz kujifunza uhuni huo wa CCM.
 


- Kubali mmekosea na gazeti lenu maana RC leo alikuwa hapo anafungua rasmi barabara iliyochangiwa na wadau wa bandari. poleni sana

le Mutuz
Kama kweli wewe ni close friend mwambie akanushe na aweke vyeti mezani mbona wenzake wengi walituumiwa wakaonyesha vyeti anaogopa non sio kuja na mapicha mengi humu hayana faida yoyote
 
DALILI 10 ZA MTU AMBAE AMEFOJI/AMEGUSHI VYETI AU ANATUMIA VYA MTU MWINGINE:
1. Ana Kimbelembele Kazini.
2. Hujipendekeza Kwa Boss Kupita Kiasi.
3. Hufanya Kazi Mpaka Zisizokuwa Za Kwake.
4. Huwachongea Wafanyakazi Wenzake Kwa Boss.
5. Hufanya Mbinu Zote Hata Kwa Kuroga Ikibidi Ili Tu Apendwe Na Boss.
6. Pale Yanapozungumzwa Maswala Ya Vyeti Hua Kimya Mpaka Mada Inaisha.
7. Hua Hapendi KuulizwaUlizwa Kuhusu Vyeti.
8. Hujenga Urafiki Na Boss Na Kuwachukia Wenzake Kazini.
9. Huropoka Ovyo.
10. Huwapondea Wenzake Kuwa Hawafanyi Kazi Ili Boss Awafukuze.
Note: Omba Mungu Usifanye Kazi Pamoja Na Mfanyakazi Huyu Kama Boss Ni Mpumbavu Walah! Nakuapia Kama Boss Hajielewi Atawachukia Wafanyakazi Wote Na Kuwatimua Ovyo Kisa Mfanyakazi Wa Namna Hii.
CHANZO: MTANDAONI.
 
Mbona hamkushangaa pale yeye tu alipoweza kwenda nje ya nchi kwa mara ya kwanza wakati Magu alipiga marufuku. Mbona hamkushangaa alipoikarabati ofisi ya serikali kwa mishe mishe zake .mnachoshangaa nini kwa yeye kurudi tena TZ ? Huyo bwana yuko juu ya kilakitu .ndo maana maranyingi amediriki kujiita mungu wa dar
 
Kwa nini mnamtukana mtoa mada na kuacha kujadili hoja aliyoileta kwa njia ya picha ambayo inajieleza vya kutosha kabisa?

wewe mwenyewe mbona umejadili suala la taarifa za uongo kuhusu Donald Trump na TBC kwenye mada inayohusu tuhuma kwa Tanzania Daima kuhusiana na Paul Makonda?
 
wewe mwenyewe mbona umejadili suala la taarifa za uongo kuhusu Donald Trump na TBC kwenye mada inayohusu tuhuma kwa Tanzania Daima kuhusiana na Paul Makonda?

Heey my friend...you're back again huh!?

Ain't got no cookies today though😀.
 
Le Mtumbo huku huna jeuri ya Kutublock. aibu yako kushobokea wanaume wenzio baada ya kufanya mambo yako mwenyewe. huyo daudi bashite si anaweza kuwa mdogo wako ni aibu yako kumdujudia MTU aliyepiga,division 0 then akafoji vyeti. Le Mtumboz
 
Kweli mkuu Pascal kawa popo anakataa kutaga anakimbilia kuzaa
 
Le mburulazi katika ubora wako. Kubwa jingazi. Kazi kujipendekeza tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…