Kwa hali halisi ilivyo, Simba anaenda kumpita Yanga kwenye ubingwa NBC

Zingzingzing

JF-Expert Member
Joined
May 13, 2014
Posts
735
Reaction score
667
Yanga anaenda kudraw na Singida, Simba anashinda na Namungo zinabaki point 3, then Yanga anashinda na Dodoma anakuja kudraw na Mbeya city.

Simba anashinda na Ruvu shooting, Yanga anadraw tena na Prison, Simba huyo kileleni, mark my words nimekaa pale.
 
Yanga anaenda kudraw na singida ,simba anashinda na Namungo zinabaki point 3, then yanga anashinda na dodoma anakuja kudraw na mbeya city, simba anashinda na ruvu shooting, yanga anadraw tena na prison simba huyo kilelen, mark my word nimekaa paleee.
Labda uwe una maanisha Arsenal.....[emoji16]vinginevyo amka uko ndotoni...
 
Yanga anaenda kudraw na singida ,simba anashinda na Namungo zinabaki point 3, then yanga anashinda na dodoma anakuja kudraw na mbeya city, simba anashinda na ruvu shooting, yanga anadraw tena na prison simba huyo kilelen, mark my word nimekaa paleee.
Yale yale na Wydad tunaenda kudroo na Morocco then penalty tunashinda kama tulivyo shinda na Zamalek.

Yanga sio Arsenal.
 
Yanga anaenda kudraw na Singida, Simba anashinda na Namungo zinabaki point 3, then Yanga anashinda na Dodoma anakuja kudraw na Mbeya city.

Simba anashinda na Ruvu shooting, Yanga anadraw tena na Prison, Simba huyo kileleni, mark my words nimekaa pale.
Zingzingzing nyukilia wee,kwenda mbali kutafuta,maua mazuri yanukia, zingzingzing nyukilia wee 🏃🏃
 
Yanga anaenda kudraw na Singida, Simba anashinda na Namungo zinabaki point 3, then Yanga anashinda na Dodoma anakuja kudraw na Mbeya city.

Simba anashinda na Ruvu shooting, Yanga anadraw tena na Prison, Simba huyo kileleni, mark my words nimekaa pale.
Hongera. Utabiri wako umeanza kufanya kazi.
 
Back
Top Bottom