Kwa hali halisi ilivyo, Simba anaenda kumpita Yanga kwenye ubingwa NBC

Yanga anaenda kudraw na Singida, Simba anashinda na Namungo zinabaki point 3, then Yanga anashinda na Dodoma anakuja kudraw na Mbeya city.

Simba anashinda na Ruvu shooting, Yanga anadraw tena na Prison, Simba huyo kileleni, mark my words nimekaa pale.
Kapimwe nnya
 
Mkuu hujaanguka Toka hapo ulipokaa!?
 
Yanga anaenda kudraw na Singida, Simba anashinda na Namungo zinabaki point 3, then Yanga anashinda na Dodoma anakuja kudraw na Mbeya city.

Simba anashinda na Ruvu shooting, Yanga anadraw tena na Prison, Simba huyo kileleni, mark my words nimekaa pale.
Ikatokea yanga akashinda simba akadrow
Mwanangu usije ukabet nyota yako mbovu sijawahi ona
 
Back
Top Bottom