Zingzingzing
JF-Expert Member
- May 13, 2014
- 735
- 667
Labda uwe una maanisha Arsenal.....[emoji16]vinginevyo amka uko ndotoni...Yanga anaenda kudraw na singida ,simba anashinda na Namungo zinabaki point 3, then yanga anashinda na dodoma anakuja kudraw na mbeya city, simba anashinda na ruvu shooting, yanga anadraw tena na prison simba huyo kilelen, mark my word nimekaa paleee.
Yale yale na Wydad tunaenda kudroo na Morocco then penalty tunashinda kama tulivyo shinda na Zamalek.Yanga anaenda kudraw na singida ,simba anashinda na Namungo zinabaki point 3, then yanga anashinda na dodoma anakuja kudraw na mbeya city, simba anashinda na ruvu shooting, yanga anadraw tena na prison simba huyo kilelen, mark my word nimekaa paleee.
Zingzingzing nyukilia wee,kwenda mbali kutafuta,maua mazuri yanukia, zingzingzing nyukilia wee 🏃🏃Yanga anaenda kudraw na Singida, Simba anashinda na Namungo zinabaki point 3, then Yanga anashinda na Dodoma anakuja kudraw na Mbeya city.
Simba anashinda na Ruvu shooting, Yanga anadraw tena na Prison, Simba huyo kileleni, mark my words nimekaa pale.
Umesikia huko? Mnyamaaaaaaaaaa kachachisha kiporoYanga anaenda kudraw na Singida, Simba anashinda na Namungo zinabaki point 3, then Yanga anashinda na Dodoma anakuja kudraw na Mbeya city.
Simba anashinda na Ruvu shooting, Yanga anadraw tena na Prison, Simba huyo kileleni, mark my words nimekaa pale.
Hongera. Utabiri wako umeanza kufanya kazi.Yanga anaenda kudraw na Singida, Simba anashinda na Namungo zinabaki point 3, then Yanga anashinda na Dodoma anakuja kudraw na Mbeya city.
Simba anashinda na Ruvu shooting, Yanga anadraw tena na Prison, Simba huyo kileleni, mark my words nimekaa pale.
[emoji1787][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Zingzingzing nyukilia wee,kwenda mbali kutafuta,maua mazuri yanukia, zingzingzing nyukilia wee [emoji125][emoji125]
Umekalia nini pale [emoji28]Yanga anaenda kudraw na Singida, Simba anashinda na Namungo zinabaki point 3, then Yanga anashinda na Dodoma anakuja kudraw na Mbeya city.
Simba anashinda na Ruvu shooting, Yanga anadraw tena na Prison, Simba huyo kileleni, mark my words nimekaa pale.