Kwa hali hii atagombea tena 2025?

Kwa hali hii atagombea tena 2025?

Atapita tu tena kwa kishindo. Wanasema by hook or by crook.

Nchi za kimasikini zote wakibana wananchi sana wakati wa uchaguzi wanatoa ahadi kibao halafu mchague msichague wanapita tu.

Halafu mwendo ule ule.
 
Atapita tu tena kwa kishindo
Wanasema by hook or by crook
Nchi za kimasikini zote wakibana wananchi sana wakati wa uchaguzi wanatoa ahadi kibao halafu mchague msichague wanapita tu

Halafu mwendo ule ule
Hii ni mbaya kwa sababu watu wana akili wanaweza kutafuta njia mbadala ya "kufanya uchaguzi". Sina uhakika na "athari" za njia mbadala zitakazo tokea. Kwa hiyo, wajitahidi njia ya sasa ya uchaguzi waiheshimu kwa sababu ni nzuri na tunajua kwa uhakika athari zake.
 
Hizo huduma zimekuwa kaa la moto toka nchi inapata uhuru.Simkubali Honorable causa lakini Kuna mambo tunampa lawama bure huyo mama.

Kuna rais alikaa miaka 20s kwenye madaraka,lakini nchi aliiacha kwenye umasikini wa kutupwa na wengine miaka 10,lakini bado walishindwa, kitendo Cha kuona huyo mama atatatua matatizo kwa muda mchache ni kumuonea bure.
 
Wa kulaumiwa ni Shujaa Magufuli kwa kutuchagulia Wabunge [emoji209]
Jitahidini muwe mnaenda kupima hata akili,wengine hamjui ni wagonjwa kbs wa akili. Wenzio wana hoja ya msingi kuhusu kupanda kwa maisha na utepetevu wa kiuongozi wa mama,wewe una leta hoja zako za kijinga za kila siku,mie nafkiri hujitambui wewe, yaani kila siku,kila mada,wewe ni jpm tu. Peleka huko upumbavu wako,sie tuna hasira na nchi yetu imegeuzwa shamba la bibi,minyonyaji ya ccm inazidi kuilalua nchi.
 
Hii ni mbaya kwa sababu watu wana akili wanaweza kutafuta njia mbadala ya "kufanya uchaguzi". Sina uhakika na "athari" za njia mbadala zitakazo tokea. Kwa hiyo, wajitahidi njia ya sasa ya uchaguzi waiheshimu kwa sababu ni nzuri na tunajua kwa uhakika athari zake.
Wao wanajua hakuna watu wapole na wavumilivu kama wabongo ndio maana mnaweza kulazwa mwaka bila umeme na maisha yakaenda tu
Mnaambiwa kwani sukari lazima na mkuu wa mkoa
Unafikiri angetamka mkuu wa mkoa wa nchi zingine yaani kwa kumheshimu tu angepigwa na mayai

Ila uchaguzi wa haki ni ngumu sana
 
Jitahidini muwe mnaenda kupima hata akili,wengine hamjui ni wagonjwa kbs wa akili. Wenzio wana hoja ya msingi kuhusu kupanda kwa maisha na utepetevu wa kiuongozi wa mama,wewe una leta hoja zako za kijinga za kila siku,mie nafkiri hujitambui wewe, yaani kila siku,kila mada,wewe ni jpm tu. Peleka huko upumbavu wako,sie tuna hasira na nchi yetu imegeuzwa shamba la bibi,minyonyaji ya ccm inazidi kuilalua nchi.
Umeshapanic 🐼🔥
 
Hii hali ndio maandalizi yake ya kupita kwa kishindo.

Kuanzia mwezi wa 10 mwaka huu mambo yataanza kukaa sawa, mapambio yataongezeka kumsifu, kuna majanga yatatokea ambayo misaada ya kutosha itapelekwa huku nyimbo za kumsifia kuwa ana huruma kutamalaki.

Kina Lucas Mwashambwa wataongezeka humu mitandaoni, ukija kutahamaki kwenye ballot hutoona mwingine zaidi yake yeye.
Na ikishindikana kihalali PoliCCM wapo tayari na marungu yao ila hatma yeyote 2025 atapita tu utake usitake, na hapo ndipo tutakaposaga meno.
 
Hizo huduma zimekuwa kaa la moto toka nchi inapata uhuru.Simkubali Honorable causa lakini Kuna mambo tunampa lawama bure huyo mama.

Kuna rais alikaa miaka 20s kwenye madaraka,lakini nchi aliiacha kwenye umasikini wa kutupwa na wengine miaka 10,lakini bado walishindwa, kitendo Cha kuona huyo mama atatatua matatizo kwa muda mchache ni kumuonea bure.
Ila kweli. Lkn mbona hatuoni japo jitihada?
 
Back
Top Bottom