Kwa hali hii atagombea tena 2025?

Kwa hali hii atagombea tena 2025?

Sukari kizungumkuti, umeme kizungumkuti, maji kizungumkuti, huduma za jamii(Afya, Elimu, Miundombinu nk.) kizungumkuti. Kwa ujumla karibu mambo yote ni kizungumkuti.
Je, atagombea tena 2025?
Kwani wewe unadhania election ni five year after but raisi lazima akae ten year kwa uongozi
 
Sukari kizungumkuti, umeme kizungumkuti, maji kizungumkuti, huduma za jamii(Afya, Elimu, Miundombinu nk.) kizungumkuti. Kwa ujumla karibu mambo yote ni kizungumkuti.
Je, atagombea tena 2025?
..
photo_2021-08-11_09-06-26.jpg
 
Sukari kizungumkuti, umeme kizungumkuti, maji kizungumkuti, huduma za jamii(Afya, Elimu, Miundombinu nk.) kizungumkuti. Kwa ujumla karibu mambo yote ni kizungumkuti.
Je, atagombea tena 2025?
Kuna wale haters wa Magufuli walikuwa kila mara walikuwa wanalalamika kwamba hali ni mbaya na wazee wapo kimya,mbona sasa hivi hatuwasikii kwa Samia!au hali ni nzuri kwa Samia!
 
Sukari kizungumkuti, umeme kizungumkuti, maji kizungumkuti, huduma za jamii(Afya, Elimu, Miundombinu nk.) kizungumkuti.

Kwa ujumla karibu mambo yote ni kizungumkuti.

Je, atagombea tena 2025?
Mbona mnaweweseka sana na yeye kugombea au kutogombea?
 
Sukari kizungumkuti, umeme kizungumkuti, maji kizungumkuti, huduma za jamii(Afya, Elimu, Miundombinu nk.) kizungumkuti.

Kwa ujumla karibu mambo yote ni kizungumkuti.

Je, atagombea tena 2025?
Anza na huku jamiiforum kuna watu wanamsifia ile mbaya japokua wanapitia haya magumu
 
Great Thinkers

Pamoja na depression ya uchumi chini yake na Taifa kuparaganyika.

Wahuni wamejipanga kumpa tena form 2025 kupeperusha bendera.

Naona lundo la vijana wakipoteza kazi huko mbeleni.
 
Hata kipindi cha Magufuli hali ilikua mbaya ila alishinda Kwa kishindo kwenye uchaguzi wa 2020.

Kibaya zaidi akaweka vibaraka wake bungeni na kuunda bunge la chama kimoja
 
Back
Top Bottom